Nailyne
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 350
- 111
Si mpaka huyo mume "aachwe". Na deal na wote wawili!
nyumba kubwa,i also beg to differ..,unadeal na nyumba ndogo kwa nini? she is just a woman amefuatwa na kama wewe ulivyofuatwa, hivi unajua maneno wanayosema wanaume kuhusu wake zao kwa nyumba ndogo? usitake kujua,most of the time ni kukashfu wake zao,mara mke wangu mshamba,mke wangu hajui hiki, mke wangu hafanyi vile, hata kama hayo wanayosema si kweli lakini wanayasema hayo huko kwenye nyumba ndogo,anyways ninachojaribu kusema ni kuwa mumeo kwanza ndio mwenye makosa akijua anaye mke, lakini akajiingiza kwenye mahusiano na kuanzisha nyumba ndogo, the best way ni wewe kudeal na mumeo ujue lilikumba lipi la kuacha mkewe ndani na kwenda nyumba ndogo! am sure ukiwaka kiukweli kwa mumeo na kama bado anakupenda yeye mwenyewe ataifutilia mbali hiyo nyumba ndogo, na hiyo nyumba ndogo itabaki na maumivu na kudadili waume za watu hadi wakome.