Darlingtone
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 390
- 146
Nyumba Kubwa Vs Nyumba Ndogo....
Hivi swali la mtoa mada lilikuwa linaulizaje??

ANGALIENI CHEATERS ya USA E.News, MUONE NYUMBA KUBWA ZINAVYOPOTEZEWA HESHIMA ,usifanye mchezo mwanamke kama umechuja kwa mumeo,Nyumba kubwa you look like avery strong woman ,naomba ukaongeze ujuzi to how men cheat their wives,tafuta muda tu uangalie mwanamke anapewa fake love 100%,na anachetiwa kwa the same percent!kuna vitu tunajiamini course we have never taste the other side ,na ukijua hiyo the other ndio itakupa confidence zaidi sbb utakuwa umeyajua madhaifu yako!
Nyumba kubwa:
How would you rate the self-esteem of their counter parts aka the wives who, despite being aware of the existance of hizo nyumba ndogo wanang'ang'ana na ndoa?.........just curious :confused2:
Tuko:
I think some is for financial reasons, others is for love and/or reproduction. As for my opinion, personally the only benefit I can see, with me being nyumba ndogo God forbid ,will be having someone constistent and dependable in my life, that I can call upon and rely on, while at the same time being able to maintain my independence and individuality. My life has been about, me, myself and I for over 30+ years now, so I reckon it's going to be hard for me to have to change it, to be about some man, and his silly wants and/or needs full time as marriages demand!
Ulitaka huyu mama wa nyumba kubwa baada ya kujua mumewe ana nyumba ndogo afanye nini hasa? Hadhi ya nyumba kubwa always iko juu kuliko ile ya nyumba ndogo kwa sababu bi mkubwa ana ujasiri wa kutoka na husband bila kujificha na mumewe huwa anaingia nyumbani mchana kweupe. Nyumba ndogo ni vigumu sana kutoka na mume wa mtu hadharani kama kwenye harusi n.k na pia hutembelewa saa za usiku zaidi.
Ukitaka kujua nyumba kubwa ina hadhi kuliko nyumba ndogo, subiri mtoto apate matatizo katika nyumba kubwa halafu husband apigiwe simu uone atakavyokimbilia home. Ila akiwa home kubwa akapigiwa simu nyumba ndogo saa 4 usiku basi ujue atalala mpaka asubuhi ndo akiwa mwelekeo wa kazini ndo atapitia nyumba ndogo. Hii ndio sababu inawafanya akina bi mkubwa kutojisumbua sana kwani anajua yeye ndo mwenye mume na mwingine amedandia kwa nyuma na ipo siku ataachia tu.
Na ukimkuta nyumba ndogo anaejiamini huwezi kamwe abadan kumvaa na kumzushia varangati.
Atakuuliza kwa misingi ipi? Who are you? Mumeo ndo nani? Na masuala mengine yote atakurefer kwa huyo huyo mume. Utampiga?
daughter naombe nikuulize msimamo wako hapo ni upi......
Maty my dear; embu tuweke kando mambo ya nyumba ndogo turudi kwenye woman to woman chat; Hivi inawezekana mwanaume akakufuatilia mwaka?? Na wewe huna hata feelings nae??? Am sure kuna signs za matumaini zinazo mfanya aendelee kukusumbua mwaka.
Nikikumbuka ujana wangu sikuwahi kuruhusu usumbufu wa muda mrefu kwani if you are not the one siumi umi maneno nakupa live na hutakuwa na hamu ya kuendelea kunifuata hata three months nini mwaka.
Mamii kuna wanaume ving'ang'anizi hasa itokee mnafanya kazi pamoja, huwezi kumtukana kwani ni mtu ambae mnakutana kila siku unamwambia tu kiutu uzima lakini haelewi kabisa mimi nina mifano hai my dear.
Sasa kuna huyu ana mkewe we ni nyumba ndogo inafika mahali unamwambia mi na wewe basi, anakataa kata kata hakuelewi kila siku ni simu simu simu, mwingine anakutishia hata maisha vile vile hasa bahati mbaya ukutane na mkurya ndio utajua ninamaanisha nini. Wanaume hawa waangalie hivyo hivyo kama mumeo ni mstaarabu shukuru lakini wengi wameoa mke wa kuja kumalizia nae uzee.

ishu kama hii unatakiwa uanzane na mume wako mwenyewe, hata ukiweza kumdunda huyo dada bado kesho wataendelea kama mumeo kaamua! nitapambana na mdada pale tu atakapotaka kununua kec icyomuhusu.
Ulitaka huyu mama wa nyumba kubwa baada ya kujua mumewe ana nyumba ndogo afanye nini hasa? Hadhi ya nyumba kubwa always iko juu kuliko ile ya nyumba ndogo kwa sababu bi mkubwa ana ujasiri wa kutoka na husband bila kujificha na mumewe huwa anaingia nyumbani mchana kweupe. Nyumba ndogo ni vigumu sana kutoka na mume wa mtu hadharani kama kwenye harusi n.k na pia hutembelewa saa za usiku zaidi.
Ukitaka kujua nyumba kubwa ina hadhi kuliko nyumba ndogo, subiri mtoto apate matatizo katika nyumba kubwa halafu husband apigiwe simu uone atakavyokimbilia home. Ila akiwa home kubwa akapigiwa simu nyumba ndogo saa 4 usiku basi ujue atalala mpaka asubuhi ndo akiwa mwelekeo wa kazini ndo atapitia nyumba ndogo. Hii ndio sababu inawafanya akina bi mkubwa kutojisumbua sana kwani anajua yeye ndo mwenye mume na mwingine amedandia kwa nyuma na ipo siku ataachia tu.
Ulitaka huyu mama wa nyumba kubwa baada ya kujua mumewe ana nyumba ndogo afanye nini hasa? Hadhi ya nyumba kubwa always iko juu kuliko ile ya nyumba ndogo kwa sababu bi mkubwa ana ujasiri wa kutoka na husband bila kujificha na mumewe huwa anaingia nyumbani mchana kweupe. Nyumba ndogo ni vigumu sana kutoka na mume wa mtu hadharani kama kwenye harusi n.k na pia hutembelewa saa za usiku zaidi.
Ukitaka kujua nyumba kubwa ina hadhi kuliko nyumba ndogo, subiri mtoto apate matatizo katika nyumba kubwa halafu husband apigiwe simu uone atakavyokimbilia home. Ila akiwa home kubwa akapigiwa simu nyumba ndogo saa 4 usiku basi ujue atalala mpaka asubuhi ndo akiwa mwelekeo wa kazini ndo atapitia nyumba ndogo. Hii ndio sababu inawafanya akina bi mkubwa kutojisumbua sana kwani anajua yeye ndo mwenye mume na mwingine amedandia kwa nyuma na ipo siku ataachia tu.
Afu nawatamani saana hao nyumba ndogo wababe wakutane na nyumba kubwa mie ndiyo watajua kama MWIZI ana power or not.
Nyumba ndogo nayo huwa inakuwa addressed as "mrs"?just eagerness to be addressed mrs somebody