Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 725
Afu nawatamani saana hao nyumba ndogo wababe wakutane na nyumba kubwa mie ndiyo watajua kama MWIZI ana power or not.
Hahaha nyumba kubwa umenifurahisha sana leo hujakutana na wataalamu wa kubeba waume wa watu mama, mume unabebewa na ukileta za kuleta unachezea kichapo huku mumeo kakaa pembeni anakushangaa. Omba Mungu mumeo tu awe mtulivu mama kwa sababu wanaume ndio hawana adabu kabisa, mtu anajijua ana mke lakini anakutongoza hata mwaka mzima. Usikufuru mama wanaume hawana mana kabisa