incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
Wakubwa kwa watoto habari za majukumu,?
Nakumbuka miaka kadhaa nilishawahi kushare hapa changamoto ninazopitia na mama watoto wangu, wengi walishauri niachane nae na wengine wakashauri nivumilie, Iko hivi baada ya sintofaham za hapa na pale Wife aliondoka hom na aliondoka na watoto wangu wawili,
Ameenda amekaa kwao kwa mda, nami kutokana na changamoto za hapa na pale nikaona bora nisogeze jiko nisiendelee kutaabika, Ila baada ya kuvuta jiko Wife karudi, kusema kweli kibinadam na kikawaida nilipata wazo la kumfungia vyoo au kutompokea ila nikawaza kuhusu wanangu nikaona nitakuwa sijawatendea haki kwa kuwa nyumba niliyojenga mimi ilipaswa wanangu wakae na pili nikaona ni nyema wakae na mama yao ndio nitakuw na amani pia,
Basi hapa ikanibidi niongee na wife nilieowa nikamhamisha hapa nikamfungulia biashara na kumpangia nyumba eneo tofauti na hapa, ili kupisha mwenyenyumba hapa namaanisha mama watoto,
Picha linaanza kuwa B mdogo nimeishi nae Takriban mwaka ila ameniprove vitu ambavyo awali sikuwahi kuviamini
1. Nimeamini mwanamke anaweza kumbadilisha mwanaume asichepuke hata bila kushika sim yake,
2. Nimeamini mwanamke anaweza kumfanya mwanaume akawa tajiri na akawa mtu wa kuheshimika kila anapopita.
3. Nimeamini mwanamke ni msimamizi mzuri wa biashara na mwenye kuleta maendeleo hasa ukimwezesha.
Tofauti ya B mdogo na mama watoto wangu ni kubwa sana,
Kwanza kabisa mama watoto wangu hata kama biashara nimemfungulia mimi ila anachokipata ni cha kwake tu hataki hata niguse 100,
Pili akitaka kutumia anachukua hata bila kunishirikisha na anafanya atakavyo kwa kuwa biashara ni yake,Tofauti na B mdogo ambae kila anachokipata lazima anishirikishe na lazima anikabidhi kwa kuomba nimshauri ni kipi afanye na hata nikiishiwa nikamuomba hanikopeshi ananipa bila kunidai kama alivyokuwa akifanya Mama watoto wangu.
Lakini kando na yote anayonifanyia B mdogo ila kusema kweli Nampenda sana mama watoto wangu japo ni mtu mwenye matukio ya ajabu sana, na hata alivyotaka kurudi sikuona shida nilikubali faster na mke wangu hakuona ubaya kupisha nyumba maana aliniambia
"Mme wangu acha aje kwa kuwa ana watoto wako lakini pia mimi siko huru kuishi kwenye hii nyumba kwa kuwa haina baraka kwangu mimi nipo tayari hata kuishi chumba kimoja ili tuanze upya nami nipate kwangu ila hapa ni kwake"
Kusema kweli ni wanawake wachache wanaweza kukubali kuacha mjengo na kwenda kupanga. Ila alivyorud Mama watoto watoto kwanza amenipiga limit kwenda kulala kwa B mdogo, pili hataki kabisa ushirikiano na mke Mdogo na amekuwa ni mtu mwenye kisirani sana hasa akiskia nazungumzia suala la mke mdogo, Japokuwa kumuacha mke mdogo siwezi maama ni mwanamke postive sana kwangu, nimekubali kuwa na wake wawili japo ni kitu ambacho sikuwahi kukifikiria awali.
Hapa nahitaji wazee wenzangu mnipe tips namna ya kuishi na hawa viumbe maana hadi sasa mke mkubwa anapasua kichwa sana nikitoka tu kidogo nikirud nakuta kavimba na analia bila sababu mara anatishia tena kuondoka na kuacha watoto ile hali alivyokuja kabla hajafika aliafiki kuwa amekubaliana na matokeo ya mimi kuowa.