Nini kinachoendelea Singida?

Unaweza kumuheshimu lakini sio kukiabudu Kama wanavyofanya wakatoliki.
 
Mkuu naona unajaribu kukuza mambo ya kawaida kabisa. Yeye kuwa na imani na rosary inakupunguzia nini wewe na maisha yako binafsi?. Wale ambao wanakwenda hijja kila mwaka halafu wakirudi majina yao yanaanza na alhaji, wananipunguzia nini mimi binafsi na maisha yangu ya kila siku?.
Kuongoza watu wa imani tofauti hakumzuii rais kuwa na haki ya kuamini kile anachokiamini, japo ni mambo ya rohoni mwake.
Tumelelewa katika misingi ya kuchukuliana kibinadamu huku tukiheshimu anacho amani mtu fulani. Ndio maana rais huyu alivaa kanzu na akawaalika waislamu Ikulu na akala nao chakula cha mchana.
Ndio maana JK alikuwa anahudhuria kusimikwa kwa maaskofu wa madhehebu ya kikristo mara kwa mara. Haupungukiwi chochote kile kutambua uwepo wa imani ya mwenzako.
 
Pia SINGIDA kuna ushirika wa KKKT kinampanda unaijiandaa kufanya jubilee ya miaka 100. Karibuni wote.
 
Sina maana hiyo. Ninacho takakujua ni kwa nini matukio haya mawili ambayo viongozi wa juu wa serikali walishitiki yafanyikie mkoa mmoja tena kwa kufuatana.
Singida kuna kuku wa kienyeji,supu yake Mashallah.
 
Mi nakumbuka hakushinda uchaguzi ila tume ndio ilimushindisha
 

Yani kumbe hata seminary hukuenda halafu unajifanya unalijua kanisa katoliki? Mi sasa nimeenda na nikatoka! Ukweli hakuna doctrine yoyote ya ukristo ambayo chimbuko lake si kanisa katoliki. Haya tuanze. Utatu mtakatifu... kanisa katoliki....Umungu wa kristo ...kanisa katoliki....ukusanyaji wa vitabu vya biblia....kanisa katoliki...krismasi na pasaka.... kanisa katoliki. Hata wa israeli wana sema ukatoliki ndo umehadaa ulimwengu kuhusu masihi, kuwa masihi hajaja. Narudia, kanisa katoliki halikuandika biblia bali lilikusanya vitabu vya biblia. Kupitia monasteri za ulaya watawa walitumia maelfu ya ngozi za kondoo kuandika biblia na kupata mkusanyiko wa kwanza "vulgate". Majanga ya asili yanatokea tu hilo la ureno ni cha mtoto kuliko la Japan. Kanisa katoliki haliyumbi katika imani mimi na wewe tunaweza kuhoji imani katoliki lakini kanisa hili ndo moral authoriti ya christendom kwa upande wa magharibi. Unadahani ukisema ulitaka kuwa padre ukafunguka watu watakushobokea kuwa unalijua kanisa? Hata kama ungekuwa padre, askofu, kardinali au hata papa ukaacha, misingi ya kanisa katoliki ni documented haiyumbishwi na maamuzi ya mtu mmoja. Waliacha akina Milingo ndo wewe ambaye hata 0.000001 ya historia na misingi ya kanisa hujui?
 
Mkuu umeweka mambo mengi sana mara China, India na Mipaka ya Israel, Babylon Jumamosi Russia etc
.. Naona hukuitaji jibu moja ulitaka multianswers ambazo haziwezi kutatosha hapa
Nijibu kwa kifupi ni kuwa, Mbingu na nchi zitita lakini neno lake litadumu milele. Naheshimu imani yako uliyonayo. Na sina la ziada
 
Tuli
Singida wanataka kuokolewa
Tulishajiokoa wenyewe. Ndio maana iunaona mkoa unaendelea kwa kasi. Watu wa mkoa huu tunajituma usiku na mchana na nna hakika jiji la Singida linakuja na baadae jiji la IRAMBA kwa ajili ya WANYIRAMBA
 
Unaamini kabisa alishinda?
 
Mkuu ahsante kwa kuni RATE kuwa ufahamu wangu ni0.00001 katika kulifahamu kanisa katoliki.. Wacha niseme SILAUMU Katoliki per se. Ninachozungumzia ni UPOTOVU wa kiimani
Katoliki ni mchanganyiko ma mambo matatu.
1. Roman Traditions/Desturi za Kirumi
2.Roman Paganism/ Upagani wa Kirumi
3. Christianity/Ukristo
Basi jaza jibu wewe mwenyewe!
 
tusije nasibisha na siasa, singida karibu na Dodoma, kama ilivyokuwa dar kipindi inajengeka nayo maeneo ya pwani yakaanza kukua, wanajaribu kuujeng mjii kwa kuanzia na mambo kma hayo
 
Mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…