Nini kinachoendelea Singida?

Lowassa alikua anashinda kanisani, michango kila siku lakini naona mungu hakupokea dua zake
 
MKOA singida ndiyo mkoa uilio katikati ya nchi.Singida inapitiwa na barabara kuu za kuunganisha mikoa yote inayopakana nayo.
 

Kiswahili kinakua kwa kasi ya ajabu, wari mkuu ni nanii
 
Nimekuelewa sana mkuu, wewe unacheza uswezi na mimi nacheza Hiari ya moyo tofauti kabisa. Halafu Hiari ya moyo huijui unalazimisha niijue kwa kadiri unavyoona lazima iwe pasipokufuata taratibu na kanuni zake. Cha muhimu baki na Uswezi wako name nibaki na Hiari yangu ya Moyo. Heshimu Imani yangu nami niheshimu ya kwako, Hakimu mkuu ni Mungu.
 
Rosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
Hacha iman za kishamba kasema nan yale matunguli yakaww na mafanikio hacheni izo bhana utumwa ulishaisha kama unamwomba Mungu mwombe izo habar za marozmery hachana nazo
 
Hoja hapa ni ROZARI au NINI KINACHOENDELEA SINGIDA?.Hizi ni hoja mbili tofauti.Hii ya ROZARI ni ya kiimani,na ndiyo inayojadiliwa zaidi.Hii ya kuamini ROZARI inasaidia ni ushuhuda tu kwa anayoiamini.Mwingine anaweza kusema HIRIZI inasaidia na akaeleweka.Tanzania kuna uhuru mkubwa sana wa kuabudi miungu unayoitaka na kuona inasaidia.Ukiona mawe yanasaidia sawa tu.KIKOMBE cha "Babu wa Loliondo" kiliaminiwa sana.Kuna uhuru wa kutangaza na kueneza IMANI unayoiamini.
 
Dogo mbona povu hio ni imani take ww inakuhusu nini?
 
Mimi naamini kabisa urais wake umetokana na kusali Rozari.Nilikuwa sijapata jibu ni kwa jinsi gani alivyoweza kupenya katika Kamati kuu ya CCM na Baadae Halmashauri kuu ya CCM na kuwapita wababe wa chama.
Hujui alipenyaje??
Ni baada ya kiranja wa darasa la nne kuamua kumkata jamaa yake ili aingize ingizo la kaka yake.
Hapo palizaa kura na maamuzi ya hasira.
 
Imshinde mara ngapi ? Mungu hachezewi mkuu , utende ya shetani halafu umsingizie Mungu ?
 
SIZONJE Alipitia kwa babu mpya
 
Sina maana hiyo. Ninacho takakujua ni kwa nini matukio haya mawili ambayo viongozi wa juu wa serikali walishitiki yafanyikie mkoa mmoja tena kwa kufuatana.
Kwa nini huulizi matukio makubwa yakifanyika Dar au Dodoma?
 
Na kwa wasio tumia rozari ina maana rozari iliiba kura zao next time hamna cha rozari wala nini wanaaibisha tu ukristo uonekane unafungamana na wizi wa kura
 
Hakuna cha rozari hapa. Magu hakushinda uchaguzi. Wameulazimisha ushindi kwa kuiba kura. Hililo jambo lisitoke mioyoni mwenu wenye kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…