Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 112
Heshima mbele wakuu,
Nahisi naongopewa hapa jamani nitoeni hofu,
Hajapata siku zake tangu Jan 2014 mpaka March 22, na ametokwa na damu nyingi mpaka imepelekea damu yake kupungua mpaka kipimo cha 6. Wanasema ana damu 6 badala ya 12 ambayo ni sahihi kuwa nayo.
Anasikia kizunguzungu, Presha ya kushuka n.k
Madaktari walihisi katoa mimba (abortion)
Naomba ufafanuzi juu ya swala hili, nimekosa uaminifu juu yake, na anaishi mbali na mimi.
watu8 MziziMkavu Mamdenyi EvelynSalt King'asti

Last edited by a moderator: