Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

humu ni zaidi ya shule yaani naburidika ninapoona watu wanajali tatizo la mwenzao kama lao thanx watanzania Mbarikiwe
 
hiyo sindano ndo imekussababishia kupata exccesive menstural or kwa kitaalam wanaita menorrhagia,,hyo sindano ya kuzuia mimbaor combine injectable contraceptive CICs,, ina tendency ikikukataa unableed sana kwa sku nying,,pole sana but its better zaid uende kwa hospital,,,but its better zaid ukatumia natural method ya kujiprotect ftom getting pregancy kama billing ovulation method BOM callendar method @lactational amenorrhoea method LAM,,tenx
 
Last edited by a moderator:
Jamni hebu tunaomba kujua zaidi juu ya tatizo la kufika kutoa mapema mbegu nakushindwa kuendelea natendo wakati bado unahitaji kufanya tendo landoa
 
Back
Top Bottom