Nini kimewakumba Halotel?

Nini kimewakumba Halotel?

Aiseeee nilikuwa nabisha kuhusu Halotel now nimelishuhudia,Halotel kwisha kazi wamezidiwa now yaani dahi kustream YouTube shida doh.
 
hapo umeongea ukweli mtupu, leo tu nimewatumia ujumbe wa malalamiko kupitia jamii forums na facebook mesenger lakini hadi sasa wapo kimya hawakujibu chochote
Nasikia Hawa jmaa huwa hawawalipi Wafanyakazi Wao muda mrefu
 
jaman mazee ka hujasajil line yako kwny halo pesa mtu toka mtandao mwngne akikutumia ela unaeza enda onyesha mesej kwa wakala kisha ifae kutoka?
 
Mtoa mada alikuwa anataka kuwaongelea tigo
 
nyie mnaolalamika mpi sehemu gani,mbona sisi huku pande za Arusha mambo fresh tu.
ngoja tusubiri labda zamu yetu bado..
 
Back
Top Bottom