Nini kimewakumba Halotel?

Nini kimewakumba Halotel?

Hao wanaotetea speed ya Halotel sijui wanaishi Tanzania ipi. Ukweli ni kwamba internet ya halotel imekuwa chini sana. Sijui tatizo liko wapi.
 
Nipo huku kijijini kwetu ambako mwanzini kabisa nilikuwa natumia tigo na voda network ilikuwa inasoma E" lakini nimenunua laini ya halotel kitu kinasoma H+.
Unayeiponda halotel mungu anakuona.
 
Walianza kwa kasi kweli kwenye internet sasa hivi ni aibu hata kuzungumzia, customer care namba haipatikani, kwenye facebook ukilalamika hawajibu ila ukiwasifia admin anajibu fasta, utasikia asante kwa kuchagua halotel.

Please jamani embu rudisheni ile speed ya zamani au ni hujuma??
Asante kwa kuchagua halotel
 
kiukweli we ndo nimeona umeongea ukweli kuplay clip insta ni bahati ila kwa hawa wengine wanazungumza uongo youtube naangalia ata muvi bila kukwama kwama af mb za halotel zinakaa mda mrefu haziishi haraka
Zamani ht LIVESTREAM nilikuwa nacheki fresh lakini siku hizi haiwezekani inakwamakwama...sema kwa bongo sijaona mtandao mwingine wa kukimbilia maana nina experience na majanga ya Tigo ,voda ,Aittel zote ziliniboa
 
mi nilidhani ni line yangu ndo tatizo..nikaibadili holaaa...mwingine akaniambia line za chuo speed ndogo nikaibadili holaaa...nimerudi voda na airtel
 
Hahaha jamaa wewe itakuwa sehemu ulipo inazengwe Halotel wako vizuri hasa ukanda wote wa pwani speed yao bado mwendo kasi sijaona mtandao wa kucompare na Halotel aisee,Tukitoa internet kwenye sms ndo hatareeee...
Hamna kitu mkuu, speed imepungua sio kama mwanzo
 
Walianza kwa kasi kweli kwenye internet sasa hivi ni aibu hata kuzungumzia, customer care namba haipatikani, kwenye facebook ukilalamika hawajibu ila ukiwasifia admin anajibu fasta, utasikia asante kwa kuchagua halotel.

Please jamani embu rudisheni ile speed ya zamani au ni hujuma??
Kweli kabisa,wameshachemsha bado mapemaa
 
Niliwahi kuingia ofisi zao kusajili line ndio nikajua kweli wahudumu wao ni malimbukeni, Nimesimama dakika tano nzima nikisubiri kusikilizwa badala yake alitokea mhindi akakaribishwa na kuanza kuhudumiwa badala yangu,... "Nilijisikia vibaya sana, Nimeshawasamehe ila ninawaomba wajirekebishe"
 
Mlitukana nazi wakati embe ni tunda la msimu.

Komaeni na wa-Vietnam wenu msirudi huku.
Waambie mkuu ndio maana wala sikuhangaika nao nilijua, debe likivuma sana
 
Ongea kwa ushahidi..weka hapa speedtest ya halotel tuamini maneno yako,binafsi kwa sasa nipo pwani..speed ime drop sana,otherwise usubir usiku sana ndio speed at least inakua poa.
Hahaha habati mbaya now sina task ya kudownload and niko pwani lakini sehemu nilipo internet haiko good sana lakini inafika hadi 600kbps na nikikaa sehemu nzuri hadi 1mbps...
 
Hamna kitu mkuu, speed imepungua sio kama mwanzo
Sisemi uongo mkuu,nadownload serries moja yenye episode km 8 iv kwa 30min na hapo bado nafanya mambo mengine ktk mtandao still unasema wanambwela doh...
 
Hahaha habati mbaya now sina task ya kudownload and niko pwani lakini sehemu nilipo internet haiko good sana lakini inafika hadi 600kbps na nikikaa sehemu nzuri hadi 1mbps...
Sasa 600kbs ni speed ya halotel kwa ilivyo anza?

Hiyo speed inapitwa mara tatu zaid na vodacom,

Huitaji task mkuu ,Nenda playstore search app inaitwa speedtest.net utaiona ni yakwanza
Kisha fanya testing na uweke hapa screenshot..
 
haahaha kwa sasa voda au tigo wanafika 1MBps
 
Back
Top Bottom