ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Mkuu we uko sehemu gani?? Mbona huku mambo yako poa ivihapo umeongea ukweli mtupu, leo tu nimewatumia ujumbe wa malalamiko kupitia jamii forums na facebook mesenger lakini hadi sasa wapo kimya hawakujibu chochote
Hawana wafanyakazi pia na waliopo hawafanyi kazi kwa weledi, wapo kusogeza siku tu! Usawa huu unamlipa mtu 4k kweli[emoji2]Ofisi zao nyingi zimefungwa kwakuwa hawana wateja.
hapo umeongea ukweli mtupu, leo tu nimewatumia ujumbe wa malalamiko kupitia jamii forums na facebook mesenger lakini hadi sasa wapo kimya hawakujibu chochote
Hawana kipya, hawajaleta chochote kipya watu wamekosa sababu ya kutumia mtandao wao.Hawa jamaa sijui wamepatwa na nini siku hizi, yaani wamekuwa hovyo sana
Mpaka kero kwa sasa mtandao umekuwa slow sanawalianza kwa kasi kweli kwenye internet sasa hivi ni aibu hata kuzungumzia,customer care namba haipatikani,kwenye facebook ukilalamika hawajibu ila ukiwasifia admin anajibu fasta,utasikia asante kwa kuchagua halotel
Please jamani embu rudisheni ile speed ya zamani au ni hujuma??
Hutakua huna matumizi ya kukufanya ulalamike Jaribu kuangalia ata livestream kidogo mwanzo ilikua poa lkn sasa ovyo Buffering kibaoMkuu we uko sehemu gani?? Mbona huku mambo yako poa ivi