Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

Dr Mollel ni kijanašŸ˜²
Basi ujana mwisho chalinze
 
Hao wooote siyo watendaji. Ni ''wasanii'' vilaza waliobebwa na ujinga na ulimbukeni wa watanzania. Kimsingi mtu yeyote anayeweza ''usanii'' kwenye maisha ana nafasi ya kuwa maarufu Tanzania hata awe mjinga kiasi gani.
 
Ooh! kwanza Kama ni utaratibu wa chama basi ni mzuri kwa ustawi wa jamii jumuishi.
Lakini mbona umewakana kisifa za dini Waziri mkuu wa Sasa na January? Huoni kama umeingia mioyoni mwao? Umewaumiza sana!
 
Baraza la mawaziri
 
Sijamkana January,ni Jafo na Mjaliwa pia sijaukana uislaam wao hapana,ispokuwa hawana uthubutu wa kusimama kama wao that was my points,January Hussein mwinyi hawa watakuwa tofauti mno na huu utawaka tulionao..angalia Zanzibar wanavofurahiya kwa mda mtupu tu.
 
Political sabotage
 
Ila Majaliwa anaweza, na anafaa isipokuwa, asije akatumia kukaza mkanda Sana, watu wataogopa kukaza mkananda for 20years, ni parefu mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreā€¦