Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.

Nini kimewatuliza?

Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.

Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.

Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
Dr Mollel ni kijana😲
Basi ujana mwisho chalinze
 
Nape,January na Makonda walidhani wao ni untouchable kwa kuwa nyakati fulani wamemsaidia mtawala.Wanaweza wakaibuka tena lakini sidhani awamu hii kama watapewa kipaumbele.

Kigwangala ameponzwa na tabia ya kupenda mapambano hata pale alipoonywa na mkubwa wake aliendeleza likembe.
Gambo yule ni invisible atapaa tena.
Hao wooote siyo watendaji. Ni ''wasanii'' vilaza waliobebwa na ujinga na ulimbukeni wa watanzania. Kimsingi mtu yeyote anayeweza ''usanii'' kwenye maisha ana nafasi ya kuwa maarufu Tanzania hata awe mjinga kiasi gani.
 
Kiendelee kilichotokeaView attachment 1669024
Screenshot_2021-01-05_171301.jpg
 
Mwenziwao Mwigulu amejipendekeza akiunyemelea uwaziri mkuu, awamu ya sita. Uraisi haiwezekani according to ccm,ni zamu ya Muislam,which means bado namuona January ana shines,vinginevo Mwinyi aje agombee aachane na Znz, sidhani kama waislam watakubali wawekewe Hawa wawili Majaliwa,na Jafo...hamna muislam atawakubali.
Ooh! kwanza Kama ni utaratibu wa chama basi ni mzuri kwa ustawi wa jamii jumuishi.
Lakini mbona umewakana kisifa za dini Waziri mkuu wa Sasa na January? Huoni kama umeingia mioyoni mwao? Umewaumiza sana!
 
Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.

Nini kimewatuliza?

Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.

Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.

Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
Baraza la mawaziri
 
Sijamkana January,ni Jafo na Mjaliwa pia sijaukana uislaam wao hapana,ispokuwa hawana uthubutu wa kusimama kama wao that was my points,January Hussein mwinyi hawa watakuwa tofauti mno na huu utawaka tulionao..angalia Zanzibar wanavofurahiya kwa mda mtupu tu.
 
Political sabotage
 
Ila Majaliwa anaweza, na anafaa isipokuwa, asije akatumia kukaza mkanda Sana, watu wataogopa kukaza mkananda for 20years, ni parefu mbaya!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom