tatizo lako na la wengi ni hilo.
Unafikiri kila mtu ambaye ana hoja ambazo haziwafurahishi chadema basi atakuwa ni CCM na mtu mwenye hoja ambazo haziwafurahishi CCM basi ni chadema!
Hii ni moja ya sababu inayoshusha sana hadhi ya Jamiiforums hususani jukwaa la siasa.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wanachukizwa sana na safari zisizo na tija za Rais Kikwete.
Pia nina hamu CCM iondolewe madarakani haraka sana lakini nasikitishwa na 'utayari' wa vyama vya upinzani tulivyonavyo.
Moja ya jambo linalonishangaza na kuni;disapoint ni hili la mbowe kusafiri in the midle of very important operation.
Juzi Wananchi wa Kenya eneo la Garissa wamekasirishwa na kitendo cha rais wao kwenda USA wakati ilikuwa aende kuzindua project muhimu sana ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu sana, wananchi wameahidi wataurushia mawe msafara wa Uhuru siku ukipita maeneo ya Garissa.
By the way sina shida na mbowe personnal nadhani hapo ume