Nini kimempeleka Mbowe huko South Africa?

Angekuwa mzalendo angehairisha maandamano mpaka yeye awepo.
 
We need Mbowe right now why South Africa, He is the hero of us why you run away my brother are you escaping or you just kinding us. You are my hero MBOWE now go back to Bongoland.
 
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.
tatizo naliona kwenye matumizi ya neno " amekimbilia", ni magazeti gani yaliyo ripoti habari hiyo?
 
Usipotoshe mkuu,mh mbowe alitangaza kusudio la kufanya maandamano pia viongozi wote waliikuwepo kwenye mkutano wa chadema pale mcity aliwaambiwa kuwa kila mtu akirudi mkoani kwake ama eneo lake la kazi afanye maandalizi ya maandamano pia watoe mrejesho makao makuu kisha itatolewa ratiba maalumu ya hayo maandamo

Kwa hyo mbowe kusafiri ni moja ya majukumu yake na agenda ya maandamano bado iko pale pale
Nimepotosha wapi?
My point is, Mbowe kama mwenyekiti ambaye chama chake anachokiongoza kimeanzisha operation nyeti ya maanadamno, yeye kama kiongozi bila kujali kama yeye ndiye aliyetoa hilo wazo la kuandamana au la as long as chama kimepitisha uamuzi huo, hakupaswa kwenda nje ya nchi unless kama ameanda kutibiwa.

Sawa amesafisiri kwenda kwenye majukumu mengine ya kichama(?) lakini what is the priority kwake kama mwenyekiti?
In the midle of very important operation alafu yeye anasafiri kuendelea na 'majukumu mengine'!!

narudia tena kama amesafiri kwa sababu ameenda kutibiwa ugonjwa, IT"S FINE.
 
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.

= Habari yako GOVERNOR Clinton Kenya hawajambo maana nasikia wewe ni mkenya (jokes) MBOWE na wewe hamna tofauti licha ya yeye kuwa M-tanzania na M-kenya.
 
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.
Mbona mwenzake yuko USA wakati nchi imo katika hati hati??
 
Blicanas walimaliza stock za cocaine,imebidi aruke kwenda jburg kupokea mzigo mpya.
kumbuka briskef lake huwa halikaguliwi airport,so ilikua lazima aende yeye.
 
Maandamano yapo wapi kamanda tufahamishe, Mbowe ni msanii wa kisiasa anachotaka yeye ni mtaji wa kisiasa watu wapigwe risasi apate agenda mpya.
Kama ipo hivyo mkuu ni kwa nini muwapige risasi si muache watu waandamane ! ili mumnyime mbowe hiyo agenda mpya.
 
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.

Ameenda kuhudhuria uzinduzi wa msikiti wa watu wote ambao hata wanawake wanaruhusiwa kuswalisha.
vp ulitaka kwenda nae ukaswalishe.
 
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.
Kweli nyani haoni kundule. Mbona mwenyekiti wenu na mkulu wa kaya ameenda
Marekani tena kwa kutumia kodi za walala hoi kwa miezi 2 hujaliona hilo unakimbilia kuhangaika na Mbowe tu. Pilipili bado hujaila inakuwasha nini.
 
We need Mbowe right now why South Africa, He is the hero of us why you run away my brother are you escaping or you just kinding us. You are my hero MBOWE now go back to Bongoland.

WTF kingereza cha BIG RESULT NOW
 
We need Mbowe right now why South Africa, He is the hero of us why you run away my brother are you escaping or you just kinding us. You are my hero MBOWE now go back to Bongoland.

WTF kingereza cha mtoto wa mulugo BIG RESULT NOW
 
Huyu jamaa amejiunga JF tarehe 17 mwezi huu. Mpaka sasa ana post 13. Si bure ametumwa huyu tumpotezee tu..

Join Date : 17th September 2014
Posts : 13
Rep Power : 303

Likes Received4
Likes Given0
 
Back
Top Bottom