Nini kimempeleka Mbowe huko South Africa?

Nini kimempeleka Mbowe huko South Africa?

Joined
Sep 17, 2014
Posts
67
Reaction score
24
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.
 
Mbowe anakula raha south na Mukya wajinga nendeni mkaandamane
 
Mbowe as mwenyekiti wa chama na MB pia kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani (KUB) anamajukumu mengi,so kusafiri ni moja ya taratibu zake za kazi

Majukumu ya chama yataendelezwa na walio chini yake

Hata kutangaza, kuratibu na kuongoza maandano ni moja ya majukumu yake.
 
Nilifikiri high priority kwa sasa ni maanadamano aliyoyaongoza kuyaratibu, kumbe sivyo!!

£¿ Ni kweli alitakiwa kuwepo aratibu haya maandamano ili kuonesha uwepo wake sasa amekotola kwa nini? Nakubuka M/kiti wa chama cha upinzani nchini Uganda Dr Besige alitangaza maamdamano alikaa akashiri mpaka m7 akataka kukimbia Ikulu sasa MBOWE anakimbia maajabu sana wandugu.
 
mapambano yana mbinu nyingi sana , akiibuka katikati ya maandamano urudi tena hapahapa .
 
Mbowe ni msanii watu wanaumizwa huku yeye anaenda kula bata na mkewe south wajinga ndio waliwao.miviroba chadema yatawaua.
 
Mbowe as mwenyekiti wa chama na MB pia kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani (KUB) anamajukumu mengi,so kusafiri ni moja ya taratibu zake za kazi

Majukumu ya chama yataendelezwa na walio chini yake

kwa nini anasafiri kipindi hiki kigumu kwa wanachama wake? Je huku si kukimbia uwajibikaji?
 
Kwani hakuna makamu mwenyekiti? Mbona jk yuko marekani?

> Ushiriki wake ni muhimu sana kuliko mafuta ya kondoo alitangaza yeye kwa nini hasishiriki mwanzo anapokuwa yeye watu wanakua na mzuka sana gesi ya kuwasha inatakiwa imuwashe na yeye siyo apande ndege na sisi waandamanaji tupande nini sasa.
 
Prof Ibrahim Lipumba
akatisha Ziara na Kurejea Dar.
Apinga Waandishi wa Habari Kupigwa.Ashauri
Waandishi kufungua Kesi
Ataka Tume Kuchunguza nani alietoa amri
Awataka viongozi wa Jumuia ya vijana Cuf
JUVCUF kufanya vikao nchi nzima kwajili ya
kushiriki MAANDAMANO vikao hivyo vifanyike
kuanzaia ngazi ya MATAWI mpaka Taifa mara
moja.
WITO umetolewa vijana kuanza MAZOEZI ya
viungo kwajili ya UKOMBOZI
 
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.
Maandamano yapo wapi kamanda tufahamishe, Mbowe ni msanii wa kisiasa anachotaka yeye ni mtaji wa kisiasa watu wapigwe risasi apate agenda mpya.
 
Nilifikiri high priority kwa sasa ni maanadamano aliyoyaongoza kuyaratibu, kumbe sivyo!!

Usipotoshe mkuu,mh mbowe alitangaza kusudio la kufanya maandamano pia viongozi wote waliikuwepo kwenye mkutano wa chadema pale mcity aliwaambiwa kuwa kila mtu akirudi mkoani kwake ama eneo lake la kazi afanye maandalizi ya maandamano pia watoe mrejesho makao makuu kisha itatolewa ratiba maalumu ya hayo maandamo

Kwa hyo mbowe kusafiri ni moja ya majukumu yake na agenda ya maandamano bado iko pale pale
 
Ameenda kula kuku na joy huku anawachora tu kwenye tv..full kicheko amewaingiza mkenge
 
Maandamano yapo wapi kamanda tufahamishe, Mbowe ni msanii wa kisiasa anachotaka yeye ni mtaji wa kisiasa watu wapigwe risasi apate agenda mpya.
Mkuu ritz, maandamano yamefanikiwa zaidi hapa jf, huko mitaani ni virungu tuu
 
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.

Very poor propaganda. Ndio maana propaganda za CCM dhidi ya Chadema hazifanikiwi.
 
Back
Top Bottom