only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,342
- 2,528
\Mbowe anakula raha south na Mukya wajinga nendeni mkaandamane
Sawa mama Nepi Nayue.
\Mbowe anakula raha south na Mukya wajinga nendeni mkaandamane
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.
... Mbowe didnt fly into OliveTambo International!
Kiswahili: Jina la Mbowe halipo kwa manifest zozote Flight zote zilizoingoa Oliver Tambo International. Yuko wapi huyu?
Bob Marley: You cannot fool all the people all the time!
Source: Ourselves
Mbowe as mwenyekiti wa chama na MB pia kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani (KUB) anamajukumu mengi,so kusafiri ni moja ya taratibu zake za kazi
Majukumu ya chama yataendelezwa na walio chini yake
Ameenda huko kuwa na kikao na wafadhili wa chadema hapa nchini kikao hicho kitatafsiriwa kuwa anapanga vurugu.anatarajiwa kupokea mabilioni ya fedha kwajili ya kampeni kupinga katiba mpya
> Hii iwe onyo kwako na kwa wengine wenye tabia za malezi mabaya kama wewe, usirudie tena kumtaja mama yangu kwa matusi we humjui mama tena ukome na jifunze kuwa na adabu tena ujieshimu ili ueshimika na jamii inayokuzunguka. Usifikiri matusi yako yana tija kwangu au kwako ila unaonekana mpumbavu kwa kunajisi mdomo wako. USIRUDIE KUNITUSI TENA JIFUNZE UTU na kueshimu mawazo ya watu.
mapambano yana mbinu nyingi sana , akiibuka katikati ya maandamano urudi tena hapahapa .
andika kihaya utaeleweka, au andika kiswahili utaeleweka pia, ebu chunguza ulichokiandika!£¿ Ni kweli alitakiwa kuwepo aratibu haya maandamano ili kuonesha uwepo wake sasa amekotola kwa nini? Nakubuka M/kiti wa chama cha upinzani nchini Uganda Dr Besige alitangaza maamdamano alikaa akashiri mpaka m7 akataka kukimbia Ikulu sasa MBOWE anakimbia maajabu sana wandugu.
hapo ndo Msingwa aliwaambia akili ndogo kutawala kubwa! hawaelewi hawa jamaa, polisi wasio tumia akili wamebaki africa hasa TanzaniaAchana nao, sijui siku atakaporudi halafu wananchi wakajitokeza kwa wingi kumpokea kwa maandamano hawa jamaa watasemaje na hao Polisi wao waliojibunia jukumu jipya la kulinda Open spaces.
wana jf habari ya wakati huu paul makonda amesema kua kamanda mbowe amejificha Afrika kusini huku watu wamehasishwa kuandamana nchi nzima.kama ni kweli aisee kesho sitaenda kuandamana.
Unaandamana kumfurahisha mbowe au kupinga mizengwe ya bmk?
wana jf habari ya wakati huu paul makonda amesema kua kamanda mbowe amejificha Afrika kusini huku watu wamehasishwa kuandamana nchi nzima.kama ni kweli aisee kesho sitaenda kuandamana.
Paul Makonda ndio nani ndani ya nchi hii? huyo ni kijana hasiyejitambua anachojali yeye ni tumbo lake hata kama akiambiwa afanye kitu ambacho kitaudhalilisha uanaume wake anaweza kukubali ili mradi tu tumbo lake lijae.kwa hiyo huyo ni wa kupuuzwa iwe sasa na hata hapo baadae