Nini kimempeleka Mbowe huko South Africa?

Nini kimempeleka Mbowe huko South Africa?

Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.

Hapo kwenye RED sijaelewa ukiwa unaandika thread kuwa mtulivu wa akili.
 
Nimepotosha wapi?
My point is, Mbowe kama mwenyekiti ambaye chama chake anachokiongoza kimeanzisha operation nyeti ya maanadamno, yeye kama kiongozi bila kujali kama yeye ndiye aliyetoa hilo wazo la kuandamana au la as long as chama kimepitisha uamuzi huo, hakupaswa kwenda nje ya nchi unless kama ameanda kutibiwa.

Sawa amesafisiri kwenda kwenye majukumu mengine ya kichama(?) lakini what is the priority kwake kama mwenyekiti?
In the midle of very important operation alafu yeye anasafiri kuendelea na 'majukumu mengine'!!

narudia tena kama amesafiri kwa sababu ameenda kutibiwa ugonjwa, IT"S FINE.

Naona umeamua kubishana tu haya ngoja twende sawa

Kwa nyakati tofauti ndani ya east africa marais wa nchi hizi hasa uganda na kenya hawakuhi kusafiri kwenda nje wakati nchi zao zilipokuwa kwenye mchakato mgumu kabisa wa katiba ila hapa kwetu since mchakato huu uanzishwe rais kama amri jeshi mkuu kasafiri zaidi ya mara 10 na hilo nyie makada hamjaliona wala kulikemea kisa na mkasa kwa vile mmemeza kadi za uanachama

Rais alitangaza kuazisha mchakato wa katiba na pia alipaswa kuusimamia kiunaga ubaga ndani ya mda aliotutajia ila leo yu wapi?

Leo bunge la katiba limegawanyika si wabunge wa upinzani tu waliotoka hata wa ccm/cuf/tlp,201/ na kibaya zaidi mwanasheria mkuu wa znz na waziri wa katiba wa zanzibar hawamo hapo kuna katiba kweli kama sio uhuni?

Turudi kwenye hoja ya msingi,tuchukulie mbowe kaenda SA kutibiwa au kibiashara,kuna lolote lililo badilisha msimamo wa wanachama wa chadema?

Mbowe kama mwenyekiti wa chama anawatu wanaosimamia majukumu,yupo katibu mkuu,yupo makamu mwenyekitu bara pro safari na jana katoa msimamo maandamano yapo pale pale,labda kama una shida na mbowe personal
 
KUKOTOLA ndo lugha gani?????
£¿ Ni kweli alitakiwa kuwepo aratibu haya maandamano ili kuonesha uwepo wake sasa amekotola kwa nini? Nakubuka M/kiti wa chama cha upinzani nchini Uganda Dr Besige alitangaza maamdamano alikaa akashiri mpaka m7 akataka kukimbia Ikulu sasa MBOWE anakimbia maajabu sana wandugu.
 
Naona umeamua kubishana tu haya ngoja twende sawa

Kwa nyakati tofauti ndani ya east africa marais wa nchi hizi hasa uganda na kenya hawakuhi kusafiri kwenda nje wakati nchi zao zilipokuwa kwenye mchakato mgumu kabisa wa katiba ila hapa kwetu since mchakato huu uanzishwe rais kama amri jeshi mkuu kasafiri zaidi ya mara 10 na hilo nyie makada hamjaliona wala kulikemea kisa na mkasa kwa vile mmemeza kadi za uanachama

Rais alitangaza kuazisha mchakato wa katiba na pia alipaswa kuusimamia kiunaga ubaga ndani ya mda aliotutajia ila leo yu wapi?

Leo bunge la katiba limegawanyika si wabunge wa upinzani tu waliotoka hata wa ccm/cuf/tlp,201/ na kibaya zaidi mwanasheria mkuu wa znz na waziri wa katiba wa zanzibar hawamo hapo kuna katiba kweli kama sio uhuni?

Turudi kwenye hoja ya msingi,tuchukulie mbowe kaenda SA kutibiwa au kibiashara,kuna lolote lililo badilisha msimamo wa wanachama wa chadema?

Mbowe kama mwenyekiti wa chama anawatu wanaosimamia majukumu,yupo katibu mkuu,yupo makamu mwenyekitu bara pro safari na jana katoa msimamo maandamano yapo pale pale,labda kama una shida na mbowe personal
tatizo lako na la wengi ni hilo.

Unafikiri kila mtu ambaye ana hoja ambazo haziwafurahishi chadema basi atakuwa ni CCM na mtu mwenye hoja ambazo haziwafurahishi CCM basi ni chadema!

Hii ni moja ya sababu inayoshusha sana hadhi ya Jamiiforums hususani jukwaa la siasa.

Mimi ni miongoni mwa watu ambao wanachukizwa sana na safari zisizo na tija za Rais Kikwete.

Pia nina hamu CCM iondolewe madarakani haraka sana lakini nasikitishwa na 'utayari' wa vyama vya upinzani tulivyonavyo.
Moja ya jambo linalonishangaza na kuni;disapoint ni hili la mbowe kusafiri in the midle of very important operation.

Juzi Wananchi wa Kenya eneo la Garissa wamekasirishwa na kitendo cha rais wao kwenda USA wakati ilikuwa aende kuzindua project muhimu sana ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu sana, wananchi wameahidi wataurushia mawe msafara wa Uhuru siku ukipita maeneo ya Garissa.

By the way sina shida na mbowe personnal nadhani hapo ume
 
ndivyo walivyo hata seif alikuwa anakinukisha zenji halafu anakimbilia UK. Huwezi kusema kuna shughuli muhimu sana ya chama kuliko kitu muhimu kama maandamano ya nchi nzima
 
Very poor propaganda. Ndio maana propaganda za CCM dhidi ya Chadema hazifanikiwi.

Hazifanikiwi? Wakati TANU ilitumia miaka saba kukamata dola ya Tanganyika (1954-1961) nyie mna Miaka 22 kwenye "Game" (1992-2014) hata theluthi moja ndani ya Bunge hamjaipata!!!
 
> Ushiriki wake ni muhimu sana kuliko mafuta ya kondoo alitangaza yeye kwa nini hasishiriki mwanzo anapokuwa yeye watu wanakua na mzuka sana gesi ya kuwasha inatakiwa imuwashe na yeye siyo apande ndege na sisi waandamanaji tupande nini sasa.
haa haa, na jk je? Mböna yuko marekani huku watanzania wamepigika? Je hakukuwa na haja ya yeye kuwepo?
 
Akili za kiji.nga CHADEMA ni pale wanapojilinganisha na CCM,kwa hiyo JK alitangaza maandamano?
haa haa kwani jk alichaguliwa kuongoza ziara usiku na mchana nje ya nchi ama? Ukweli uwekwe wazi,jk kuzurula amezidisha badala ya kuwaletea watanzania maisha bora.
 
Nimepotosha wapi?
My point is, Mbowe kama mwenyekiti ambaye chama chake anachokiongoza kimeanzisha operation nyeti ya maanadamno, yeye kama kiongozi bila kujali kama yeye ndiye aliyetoa hilo wazo la kuandamana au la as long as chama kimepitisha uamuzi huo, hakupaswa kwenda nje ya nchi unless kama ameanda kutibiwa.

Sawa amesafisiri kwenda kwenye majukumu mengine ya kichama(?) lakini what is the priority kwake kama mwenyekiti?
In the midle of very important operation alafu yeye anasafiri kuendelea na 'majukumu mengine'!!

narudia tena kama amesafiri kwa sababu ameenda kutibiwa ugonjwa, IT"S FINE.
haa haa, kwa hiyo kipaumbele cha jk ni kusafiri? Je jk hana kipaumbele kwa watanzania? Kwa nini anasafiri sana? Hayo mawazo yako yametoka lumumba.
 
We need Mbowe right now why South Africa, He is the hero of us why you run away my brother are you escaping or you just kinding us. You are my hero MBOWE now go back to Bongoland.
Si lazima uandike kwa kiswanglish tumia kiswahili tu utaeleweka sasa hapa umeandika nini?
 
haa haa, kwa hiyo kipaumbele cha jk ni kusafiri? Je jk hana kipaumbele kwa watanzania? Kwa nini anasafiri sana? Hayo mawazo yako yametoka lumumba.

Watu huwa hamsomi mkaelewa manakurupuka tuu ku'comment.
 
Blicanas walimaliza stock za cocaine,imebidi aruke kwenda jburg kupokea mzigo mpya.
kumbuka briskef lake huwa halikaguliwi airport,so ilikua lazima aende yeye.
haa haa nasikia na mwenzake jk amerukia marekani kuuza madini na gesi yetu kwa wazungu,
 
ndivyo walivyo hata seif alikuwa anakinukisha zenji halafu anakimbilia UK. Huwezi kusema kuna shughuli muhimu sana ya chama kuliko kitu muhimu kama maandamano ya nchi nzima
View attachment 186663
wakati huu Tanzania ilikuwa kwenye shida ikiwemo umeme,Rais na first lady wako kwenye bembea Jamaica!
 
Back
Top Bottom