Nini kimempeleka Mbowe huko South Africa?

Nini kimempeleka Mbowe huko South Africa?

Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.

Tuwekee hapa jina la gazeti (lakini lisiwe Uhuru,Mzalendo au Jamba Leo) na utuwekee habari nzima ya kilichoandikwa.
 
Ameenda kujipongeza kwa kuchaguliwa maana hakutegemea kupata tena baada ya sakata la zito liilomshushia mashiko kwny chama na pia upinzani mkali alioupata na pia kikwazo cha msajili ambacho hadi sasa ni siri yake anajua alichofanya kupiga makalatee hadi kukiruka kwakweli amepitiq kwny tanuru la moto hajui hatma yake hapo baadae hata ubunge mwakani ni mashaka matupu
 
Maandamano yanatakiwa yaanzishwe na wananchi baada ya kuona hawatendewi haki na viongozi wao. Mbowe kutangaza maandamano ni sehemu tu ya kuamsha wananchi. Ila kwa safari ya ghafla aliyofanya haileti picha nzuri kwa wananchi kabisa. Tuambiwe alipatwa na nini aende Afrika Kusini ghafla wakati huku maandamano bado hayajachaganya?

Kuna aliyesema kafuata mzigo kwa ajili ya Bilicanas. Mimi sio shabiki wa Bilicanas ila kama Mkiti wa Chama biashara zake zinapaswa ziwe za halali na safi hata ikibidi kufunga hiyo klabu afunge!
 
Nilifikiri high priority kwa sasa ni maanadamano aliyoyaongoza kuyaratibu, kumbe sivyo!!
mkuu kwa upande wangu ni vigumu sana kushiriki haya maandamano maana watu wako kimasilahi zaidi kuwatumia wengine ili miradi yao ifanikiwe. kama ni kuandamana nitafanya humuhumu nyuma ya keyboard.
 
Ukiwa msukule wa wanasiasa na akili inahamia kwenye vigimbi.

Kwa hiyo JK ndo role model wa Mbowe kwamba anafuata nyayo za uswampaji wa Fastjet!

No wonder wapiga kura kuendelea kuichagua CCM pamoja na kushindwa kutekeleza ilani yake maana matendo ya wapinzani hayana tofauti na ya CCM.
 
Mbowe alitegemea leo kutatokea machafuko ,, Chadema wameamua kumpotezea
 
Kaenda kutupokelea zana za kutumia kwa ccm iliyochakaa inatumia mabavu.
Itafahamika tu
 
Ndo anakimbilia uhamishoni hivyo harudi tena huyu
 
View attachment 186663
wakati huu Tanzania ilikuwa kwenye shida ikiwemo umeme,Rais na first lady wako kwenye bembea Jamaica!

sawa, lakini kukosekana umeme hakuwafanyi wananchi kupigwa virungu kwa kuandamana bila vibali. Sio wewe uanzishe maandamano yasiyo na vibali halafu umbebe mchepuko wako muende sauzi, uache watoto wa "makamanda" wapigwe
 
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.
pengine wahuni wale wamempoison, so kawahi south kufanya screening
 
Kwa hiyo Mbowe anamuiga JK na CCM? Huwa mnaboa kweli mnapotumia dosali za CCM kuhalalisha dosali za CDM.
haa haa,mkuu usianze kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzie, anza kwako. Mbona sijaona mkimkosoa jk? Huu ni unafiki mkubwa!
 
Back
Top Bottom