Nini kimempata Mzee Warioba?

Nini kimempata Mzee Warioba?

Kati ya watu ambao wakifa watu inabidi wafanye tamasha kubwa la kusherekea maisha yake na utimishi uliotukuka kwa nchi yake.
Watu wasilie kabisa.
Kwenye tamasha yarushwe na kuchapishwa yote aliyo ongea na kuandika kuhusu kuilinda nchi yake na rasilimali za nchi yake..
 
Ametoka akitembea mwenyewe akisaidiwa na wasaidizi na mama Tibaijuka
Alinifurahisha wale jamaa walivyompelekea Wheel Chair akakataa...
 
Kati ya watu ambao wakifa watu inabidi wafanye tamasha kubwa la kusherekea maisha yake na utimishi uliotukuka kwa nchi yake.
Watu wasilie kabisa.
Kwenye tamasha yarushwe na kuchapishwa yote aliyo ongea na kuandika kuhusu kuilinda nchi yake na rasilimali za nchi yake..
Alipokua waziri mkuu 'serikali ilikua likizo',alichukua rushwa chama cha ushirika Kanda ya ziwa,mjomba wake akamuamuru kurudisha
 
Kwani waziri mkuu ana kinga?
Mpelekeni mahakamani endapo alifanya makosa hayo.
Tena anavyo wachokonoa hiyo ndiyo njia ya kumnyamazisha kirahisi.
Ukiona hamjampeleka mahakamani hadi sasa ujue hizi tuhuma za uongo.
 
Pole sana kwa kumuamini kwa upofu huyo dingi,rushwa alichukua na anko wake akamwambia arudishe
 
Unafufua makaburi
Tibaijuka anataka kumshitaki bycola kwa kuchapisha mtandaoni kuwa alichukua hela za kifisadi za escrow, bycola alisema tibaijuka na kanisa hawana uzalendo wowote kwa sakata lile la escrow kupitia bank mkombozi

Warioba Hana uzalendo wowote kama tibaijuka na kanisa, kelele ni kupigania maslahi yao
 
Pole sana kwa kumuamini kwa upofu huyo dingi,rushwa alichukua na anko wake akamwambia arudishe
Mumshitaki mbona Daniel Yona na Basil Mramba mliwashitaki. Mnashindwa nini kwa huyu adui wenu anaye wapigia kelele wakati mnakula kwa fujo vitu haramu?

Bora huyu aliambiwa arudishe na mjomba wake akarudisha. Ninyi mama yenu hawaambii mrudishe anatuambia tuwataje tuwazomee Ila muendelee kula kwa urefu wa kamba zenu bila bughudha.
 
Tibaijuka karudisha vichenji vya mboga,bank ya kanisa imeshitakiwa kwa kutakatisha pesa?
 
Back
Top Bottom