Hana wasaidizi,Wakati anaongea pumzi yake ilikuwa inakata taratibu na nilishangaa hakuna aliyekuwa ana notice upumuaji wake. Nilitamani hata kufungua uzi hapa wasaidizi wake wamsaidie
Link Mkuu...Asante Chanzo tv kwa kutokata matangazo kabisa tuone vizuri
Sisi wengine tuna zile hisia za ziada. Toka nime notice hadi anaanguka ni muda mfupi ila niliona something is happeningSasa kwa nini hukufungua uzi “ili wasaidizi wake wamasaidie?”
ok.Mzee Warioba amedondoka gafla wakati anatoa hotuba yake TCD.
Mungu amsaidie
Video..
U r stupidreally?, yaani ungependa kuona video ya mtu aki-collapse? halafu? binadamu tuko tofauti sana aisee ...
You should have trusted your intuition maybe you would have saved the life of this statesman if any bad thing could happen to himSisi wengine tuna zile hisia za ziada. Toka nime notice hadi anaanguka ni muda mfupi ila niliona something is happening
Mungu ni mwema mzee wetu ameamka!!
U r stupid
I asemekana hiyo mic ilishikwa na mtu aitwaye mohamed kawaida kabla ya mzee kuanza kuongeaMic ichunguzwe
Warioba siyo mara yake kwanza kuanguka. Hata wakati wa kuanza mchakato wa katiba ie ya enzi za Kikwete 2014, alianguka tena. Huwa wanafanya makosa kutokuwa karibu naye anapokuwa jukwaani.Wakati anaongea pumzi yake ilikuwa inakata taratibu na nilishangaa hakuna aliyekuwa ana notice upumuaji wake. Nilitamani hata kufungua uzi hapa wasaidizi wake wamsaidie