Na hao watawala unaowakusudia ni Kikwete na Samia? Lakini sasa mbona kipindi cha Kikwete ndio kuliibuka ile ishu ya Uamsho na masheikh wakafungwa?Ipo hivi waislamu linapokuja itikadi za dini huwa wapo pamoja hata kama Uovu maadamu dini ni moja ndo maana huwezi msikia Zito,nondo,fatuma nk wakikosoa uovu tofauti na kama mtawala akiwa wa Imani tofauti na wao kutwa hawalali kutafuta attention,kwa sasa hivi katu huwezi wasikia.
4.Ego1. Udini
2. Uzanzibar
3. Jenda
Yule alimpinha sana Magu kwa sabanu ya Dini yake, sasa huyu wa sasa ni ndugu katika ImaniHivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.
Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.
Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.
Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Tatizo la Fatma ni UDINI.Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.
Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.
Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.
Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Watanzania wakilijua hilo wala hawatoshangazwa, na sio kuwa na sababu binafsi tu bali inaweza kufika muda mtu akabadili mtazamo wake kwa sababu zake tofauti tofauti ndio maana mie hata siku nikija kuona Lissu nae kabadilika wala sitoshangaa.Tanzania watu husifia au kuponda watawala kwa sababu zao binafsi tu.
Ni unafiki zaidi.
Unataka kusema Fatuma ni mshika dini kiasi hiko?Yule alimpinha sana Magu kwa sabanu ya Dini yake, sasa huyu wa sasa ni ndugu katika Imani
Faizafoxy umekuja kivingine.Kuna post aliwashutumu chadema kwa udini,kashtuka,kaujua muundo wa wadini,kajiweka kando, kupitia mitandao fitna inageuka,wadini na walioweka misingi hiyo hawatofika kokote
Fatma Karume ni mdini sana na pia ni Mzanzibari sana ndiyo maana humuambii kitu kuhusu SamiaHivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.
Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.
Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.
Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Kuna hoja nyingine mahakamani zinakataliwa kujadiliwa kwa sababu ni "argumentative".Kiranga nakusoma na kukuelewa vizuri hasa hoja za Watanzania kuhusu uhuru wa maoni na kushiriki.
Gwajima: Ana makando kando mengi kuanzia madhabahuni, jimboni, Bungeni na mitaani. Ni mtata asiye na credibility wala integrity. Hilo halina ubishi. Wakati ndio unampa ''heroism'.
Hoja ya mauaji na utakeji ilipotinga Bungeni Spika aliipiga marufuku. Ukiacha mbunge wa Chadema, wengine 390 na ushee hawakuthubu kusema chochote
Gwajima katoka Bungeni na kuita wanahabari kuzungumzia tatizo linaloikera jamii ndicho kumemfanya awe 'a man of moment''. Mkuu hata saa mbovu husema ukweli mara 2 kwa siku. Yes ni oppotunist lakini kwa hili aligusa Umma ndio maana Umma umesahau makando kando yake! kwasababu tuna huzuni na ndilo tatizo la wakati huu! kalisemea
Fatma: Ni mtata pia! aliyopigania wakati wa Magufuli alikaa kimya wakati wa Samia. Fatma alihamasisha watu wavae nguo nyeupe kama ishara ya kudai Tume huru ya uchaguzi. Sikumbuki kama anadai leo hii.
Fatma alipigania Katiba mpya, lakini pia tulimuona kwa Mkandala akijua si katiba mpya ni ulaghai! kisa Samia
Sikubaliani na watu wanaotaka sote tuwe na fikra sawa, wala sikubaliani kuwa mitazamo tofauti ni usaliti.
Hata hivyo penye utata pasemwe! Fatma na Gwajima ni watata, haina maana ni wasaliti au ni hovyo, la hasha, ni watata tu!
Mkuu labda kuna kitu hujui kuhusu huyo afande uliemtaja. Yeye ndio muasisi wa ile kauli mbiu "Hakuna kuhama chama"Pia Watanzania wengine wana tabia fulani ya projection.
Projection ni nini? Ni tabia fulani ya kumuwekea mtu baki matarajio yako.
Yani mtu hujakaa naye, hujamuuliza anataka nini, lakini unakuwa unalazimisha tu kuwa huyu lazima atakuwa anafikiri kama mimi.
Siku akipata nafasi ya kufunguka na kukueleza kwamba yeye hafikirii kama wewe, unaumia, unamtukana, unamsema huyu msaliti.
Msaliti kivipi? Kwani mlikubaliana mfikirie sawa?
Nimeliona hili sana Peter Madeleka alivyoondoka CHADEMA na kwenda ACT. Kuna watu wamemsema kama vile walikubaliana naye afe mwanachama wa CHADEMA.
Fatma Karume kasema yeye msimamo wake siku zote ni kushiriki kwenye uchaguzi. Aliishauri ACT takriban miaka 10 iliyopita kushiriki kwenye uchaguzi. Hiyo ilikuwa kabla ya No Reforms No Election. Na hata leo anaendelea na msimamo wake huo huo.
Sasa kuna watu wasiomjua wanasema siku hizi kabadilika, wakati yeye anasema huu ndio msimamo wake na kashautoa takriban miaka 10 iliyopita huko.
Watu wengine wanapenda sana kulazimisha kila mtu afikirie kama wao.
Fatma anasema Gwajima hakemei uhalifu, anatumia hoja ya kukemea uhalifu kupanda chati kisiasa.Kwaiyo naye anatuhabarisha kuwa gwaji ni opportunist nia yake tuamini projection yake kuhusu gwaji.
Kwani kuna sifa unahitajika kukidhi vigezo ili uwe na power ya kuwa mtu sahihi wa kukemea uhalifu unaoendelea ktk nchi?
Katika moja ya sheria kuu kwa waislam nikumpenda mwana dini mwenzio. Nidhambi kubwa msaliti muislam mwenzio. Hii sharia inawaunganisha wa islam wote hivyo hata kazin usishangae bos akiwa muislam kumpenda au toa upendeleo kwa muislma mwenzake... hiyo ni dini inataka hivyo... je waona picha ya 2026? AlamsikiHivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.
Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.
Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.
Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Mkuu,Mkuu labda kuna kitu hujui kuhusu huyo afande uliemtaja. Yeye ndio muasisi wa ile kauli mbiu "Hakuna kuhama chama"
Kauli mbiu hii ilitumika kipindi cha Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA. Watu wanavyo mzodoa sio wajinga.
Huyu nayeye ndo walewale!! Apuuzwe tu hana msimamo anataka nn🏹Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.
Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.
Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.
Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
AiseeMkuu,
Mimi siongelei mtu, naongelea hoja.
Madeleka is a showboat. I know that for some time and I do not need you to tell me that. So I am not the Madeleka fanboy you imagine me to be.
But my point was not to elevate Madeleka. I have a more philosophical and nuanced point than elevating a mere person.
My poInt is that wabongo wengine walikuwa hawamjui Madeleka wakamuona kamanda mpiganaji atakayefia CHADEMA.
Which was wrong. Wabongo tu hata hawamjui, wameproject matakwa yao kwake. This is wrong.
My point ni kwamba wabongo wengi wana project fikra zao kwa watu baki bila hata kukubaliana nao. Watu ambao hata hawajawahi kukutana nao wakaongea.
Ndio hao wanalazimisha Fatma Karume aunge mkono No Reforms No Election, wakati Fatma mwenyewe anasema kifalsafa yeye siku nyingi sana amekuwa akishauri vyama vishiriki chaguzi, kawa na msimamo huo tangu ACT Wazalendo kikiwa chama kichanga takriban miaka kumi sasa.
Sasa mtu kashakuwa na huo msimamo kabla ya No Reforms No Elections haijaanza, mtasemaje kawabadilikia leo kwa kuwa anaendelea na msimamo wake huo huo?