Ngoma kwa muda mfupi huoš¤Sio ngoma kweliš
Jf ina watu watata sana aisee daah ni vizuri tukafurahi..Simshangai sana mimi mwenyewe nilidhan kuna mchawi kaingia kumbe ni mimi mwenyewe sijajiangalia kwa muda mrefu wife kanisapraiz na likioo refu chumban
KumbeMalipo ni hapa hapa duniani karma inamtesa
Askari wa Tanzania hana stress hata kwa mbali. Maana yuko juu ya sheria na Katiba pia.Stress za watawala..
Aah wapi tena afadhali raia kuliko wao..Askari wa Tanzania hana stree hata kwa mbali. Maana yuko juu ya sheria na Katiba pia.
šÆYote kwa yote tupunguze divai.. Inazeesha sana
Huenda kamba imepigwa mafundo na kufupika.View attachment 3437764View attachment 3437763
PICHA YA CHINI NI MIEZI KADHAA NYUMA
PICHA YA JUU NI YA LEO
Itakuwa kisukari au ngoma imegoma ARV?View attachment 3437764View attachment 3437763
PICHA YA CHINI NI MIEZI KADHAA NYUMA
PICHA YA JUU NI YA LEO
Mbona ni habari njemaAnaumwa Figo.
KisukariView attachment 3437764View attachment 3437763
PICHA YA CHINI NI MIEZI KADHAA NYUMA
PICHA YA JUU NI YA LEO
Kule India ni machinjioni wakienda hawarudiUzuri kodi zenu zinawasaidia sana kufika india
View attachment 3437764View attachment 3437763
PICHA YA CHINI NI MIEZI KADHAA NYUMA
PICHA YA JUU NI YA LEO