roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,708
- 2,885
Novena haijaanza
PGO inasema hivi lakini wewe unaambiwa ufanye kinyumeExactly 💯
Lazima ukondeePGO inasema hivi lakini wewe unaambiwa ufanye kinyume
Ukiwaza una familiaLazima ukondee
Ni hatari sana brotherUkiwaza una familia
Lakini atakaa vizuri tuu wao sindio wameshika mpini hakuna kitakachoshndikanaSukari ... jamani Sukari ?
Likely anapitia crisis... mimi imenipiga hiyo nilipoteza 17Kg in just 12 months... aisee ni wakati mtu unaweza kufa kabisa.Itakua yuko busy ndio mana nuru imepungua...unakuta sleepless nights ..yoyote lazima apungue
Kaaangalie page ya mwananch video ya Leo InstagramMna uhakika n yy
Filters tu. Picha ya juu 'live' ya chini imeandaliwa. Sura yake ya kweli ni ya juu.View attachment 3437764View attachment 3437763
PICHA YA CHINI NI MIEZI KADHAA NYUMA
PICHA YA JUU NI YA LEO