Nini kimemkuta Idris Sultan?

Ndio nani huyo mfanyakazi wa zama niweke link nisome habari unajua Mimi sipo huko daslamu mengi siyajui
 
Nilitaka kusema kitu kuhusu Idris na Max Rioba,ila kwa vile wewe umeanza,malizia..ongezea nyama mkuu..
 
Mmmh hana akili tu hio pesa angetafuta kiwanja huko tegeta ndani ndani siingekuwa powa, sasa saiv kapanga tu hana kwake mshika anjilaumu kimoyomoyo najua hilo, anyway bht haijirudii mara mbili kwishaaa
Inatokea mkuu. Mtoto wa maskini kupata 500m kwa mara moja bila kuwa na udhibiti lazima azipoteze. Ile hela angeshinda mtoto wa Bakresa hadi muda huu ingeshazaa mara 10.
 
Cha muhimu tuwafundishe sana watoto kuhusu nidhamu ya fedha na kuwaandaa kisaikolojia. Mtoto mwenye exposure hata kidogo itamsaidia sana ukubwani.
 
Max alimtafuna? Tatizo watu wengi huwa hawakubali ukweli kuhusu maisha yao. Nyakati mbaya zikifika wanajikataa. Kama ni nyakati unaona kabisa hakuna jinsi beba hata zege mambo yaende badala ya kutaka ku-maintain status. Idris ni aina ya watu waliokataa kabisa kukubali uhalisia wa maisha yao.
 
mwili wa binadamu ni kama gari, ni muhimu kuhudhuria gereji mara kwa mara
 
Kuna mambo yanashangaza sana, hadi leo sijui kwa nini vijana wanashindwa kukaza hata upitie magumu gani.
Hawa kina cocastic unakuta wametokea maisha ya kijijini lakini wakifika mjini wanashindwa kupambana wanasubiri vya bure mwisho wa siku wanamponza mwaikimba
 
Ukisikiliza ile video inaonyesha Salehe ugumu wa maisha unamfanya anatumbukia pabaya.
Mtu akimuita ainame kwa exchange ya pesa hawezi kukataa na mpaka muda huu simu yake itakua ipo busy kwa wadau.
 
Watu maarufu wengi wana umeme kuanzia wanasiasa mpaka wasanii wote.


Idriss alikosea sana kushare mademu na kuwa kuwadi kwakuwa sio yeye aliyepata Ngwengwe Ila hata Steve Nyerere Rashida Wanjara . n.k

Loh! Idris kayakanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…