Mtoa uzi kweli humjui Omondi...akiwa Uganda anazngumzia waganda England anazungumzia waingereza ivo ivo akiwa TZ anazngumzia Tz..pia kuhusu cover za nyimbo mbona anatoa nyingi tu hata za kenya uganda nigeria....
Omondi hufanya kazi kulingana na mazingira. Huwezi Kuna mengi aliyoigiza sio kuhusu tz tu.
Mfano aliigiza how to Donald Trump je Tramp ni m tz? Akija tz lazima atafanya uchekeshaji WA mada kuhusu tz ili kila mmoja aelewe na afurahi but akirudi kwao in fact hutumia English mostly. Pia hii ingekuwa fursa ya kina Joti kufanya kazi za kimataifa. Bila wivu joti yupo vizuri Sana kuliko Erick but huwa kazi Zake zimebana bongo tu ndio maana huko nnje hafahamiki Sana kama tumjuavyo Erick hapa bongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.