Nini kimejificha nyuma ya sanaa ya Erick omondi ?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,893
22,331
Wana ndugu leo nataka tumdadavue huyu mchekeahaji kutoka Kenya,Ndg Erick Omondi .

Huyu jamaa kwa kweli huwa nashindwa kumuelewa ,hivi kwa nini anapenda kutufatilia fatilia sana Watz na sio raia wa nchini kwake Kenya au mataifa mengine?

Yaani jamaa kila kichekesho anachokitoa kinauhusiana na Watz

Wasanii wa Tz hasa WCB wakitoa wimbo tu ,huyo kashaudaka na anaufanyia cover ,ila sijawahi kuona akifanya cover kwa nyimbo za mataifa mengine wala kutoka nchini kwake Kenya .

Halafu huyu jamaa hivi ina maana kutoa kichekesho bila kumuigizia mtu mwingine hawezi au?

Kwa kweli huwa kananikera sana haka kajamaaScreenshot_2017-07-01-23-33-36_1.jpg
 
Nahisi itakuwa nifaida kwetu watz maana atakuwa anaukuza na kuusambaza mziki wetu bila kujua/kwa kujua ilihali mziki umeduma.

Aendelee kufanya cover tu tena ikiwezekana za wasanii wote wa Tz.

Naona kinachokukwaza ni ule ukweli unaokuwa unawahusu hao wahusika ambao unajumuhisha watz wengi/ wote, mfano ni ile ya Alikiba kutojua kimalikia.
 
Haina tatizo, na jamaa huwa anaonesha ana roho nzuri kwa Wabongo

Mbona alishawaponda wanamuziki wa Kenya kuwa nyimbo zao hazipo romantic kabisa kama unakumbuka wakati wa Zari All White party.

Mimi sioni tatizo lake...na anawazidi kabisa mangumbaru kama Steve sisiemu Nyerere na yule kupatana.com.
 
Nje ya TZ ni chache sana ,95% ya vichekesho vyake vinahusisha Watz.
 
We nae ni mchekeshaji?
Haumfatilii jamaa vizuri na kama unamfatilia vizuri usingezungumza huu upuuzi, siyo kweli kwamba anachokifanya Erick ni kinachohusiana na watanzania tuu au WCB kama ulivyosema bali anajaribu kuangalia afanye kitu kinachofahamika na kupendwa na watu wengi mfano Aliwahi kufanya cover ya wimbo wa Diamod salome pia aliwahi kuigiza how to be Diamond, alichokilenga ni kuteka watu wengi kutokana na yule mtu alie muigiza, ni nani ambae hamjui Diamond hapa East africa kwa wanaofatilia Entertainment? Pia kawahi kuigiza,watu wengi sana kama Sauti sol,Vera sidika n.k so usiingize sana chuki mkuu jamaa mi namwelewa sana Africa mashariki namwona ni mchekeshaji bora kabisa.
PAMBANA TU NA HALI YAKO
 
Wana ndugu leo nataka tumdadavue huyu mchekeahaji kutoka Kenya,Ndg Erick Omondi .

Huyu jamaa kwa kweli huwa nashindwa kumuelewa ,hivi kwa nini anapenda kutufatilia fatilia sana Watz na sio raia wa nchini kwake Kenya au mataifa mengine?

Yaani jamaa kila kichekesho anachokitoa kinauhusiana na Watz

Wasanii wa Tz hasa WCB wakitoa wimbo tu ,huyo kashaudaka na anaufanyia cover ,ila sijawahi kuona akifanya cover kwa nyimbo za mataifa mengine wala kutoka nchini kwake Kenya .

Halafu huyu jamaa hivi ina maana kutoa kichekesho bila kumuigizia mtu mwingine hawezi au?

Kwa kweli huwa kananikera sana haka kajamaaView attachment 533760Huyu alikuwa Churchill Show baadaye akaamua kujitenga na kujitegemea.
Ni mchekeshaji mzuri tu ila kwa miaka ya karibuni amekosa ubunifu.

Sasa yeye amegeuka kuwa ni opportunist tu.
 
Huyu alikuwa Churchill Show baadaye akaamua kujitenga na kujitegemea.
Ni mchekeshaji mzuri tu ila kwa miaka ya karibuni amekosa ubunifu.

Sasa yeye amegeuka kuwa ni opportunist tu.
Churchill show yupo dogo mmoja pale anaitwa David the student namuelewa sana, soon atakuja kuwa na jina kubwa sana yule chalii Mkuu.
 
Wivu ni ugonjwa mbaya sana especially kwa kijana mwenzio.. take careUkimaindi natuma tena.
 
Pambana na Hali yako Steve Nyerere, Hivi wewe Erick umeanza kumfahamu lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom