Nini kilitokea JamiiForums mida ya mchana

Nini kilitokea JamiiForums mida ya mchana

fazsb

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
50
Reaction score
5
jamiiforums.PNG
kwa mimi nisiye kuwa na uelewa wa maswala ya tuvuti , nilipata ujumbe kwenye hiyo picture sasa ckuelewa
 
Nimechange simu zangu zote majanga nikashangaaa
 
Mi nlidhani tatizo la application kwenye simu nikaenda kwa pc nikaona hali hiyohiyo nikaona tatizo lipo kwao hapa
 
Hali ya ki mtandao ukweli leo ilikuwa tete hii ni wazi imetukuta watu wengi sana.
 
kulikuwa kuna hacked inataka kufanyika hivyo niliwaagiza makamanda wangu wakapigane na hayo ma hackers na kuichukua jamiiforums na kuirudisha mikononi mwangu kuanzia leo mapinduzi ya kijeshi yamefanyika na sasa moderator mkuu ni mimi nataka niwapige ban wanaume wote nibaki na wanawake ukilipata tangazo hili waambie na wenzio

imetolewa na MO11 kwa msaada wa mtandao
 
Last edited by a moderator:

ha ha ah wabaki vibinti tu bwana
 
Mwanza hapa hali ya hewa ni mbaya sana, kawaida kukiwa hivi lazima JF izinguliwe... lakini nashangaa google wenyewe wako very ok, lol!
 
Mwanza hapa hali ya hewa ni mbaya sana, kawaida kukiwa hivi lazima JF izinguliwe... lakini nashangaa google wenyewe wako very ok, lol!

mie nlishangaa badala ya ID zenu nao majina halisi nkajua labda mmeamua ha ha ha ha nicje pata ban bure
 
Ilikuwa kama umeme wa Tanesco vile, iliniboa mpaka nika-logout na kuendelea na mambo mengine....
 
Hiyo ni kutokana na web ya jf inafikiri inavamiwa na virus toka kwa browser yako.. Kusolve refresh au back page linaisha..
 
Ilisababishwa na CCM Virus ambavyo ni vry "contagious".. Visipodhibitiwa haraka husababisha "device" kuharibika kabisa beyond repair/maintenance!
 
Back
Top Bottom