Atakula hiyo kazi. Ndio maana kuna aina fulan ya wanawake wakipata kazi au mafanilio ndio utajua tabia yake halisi. Yaan ni waovu... viburi gafla vinaanza, ngoja akose kazi anakuwa mdogo kama piriton.
Ninammoja alipata kazi kiburi kikaanza, majib ya mkato, siku moja nikampigia sim akaniuliza ww nani..? Nikasema okay isiwe shida. Nikala binda.. mwezi mmoja baadae huyo hapo , i love you za kutosha.. sijui nimekumiss.. kumbe alifukuzwa kazi.. nikamwambia kafie mbali mbuzi wa kijan ww usie na shukrani [emoji23]