Nini kilisababisha u-cheat?

Nini kilisababisha u-cheat?

Kwa hiyo kauli mkuu mm siku hiyo hiyo ningemletea mwenzie. Inaonekana alikuwa anaringa sana kutokana unampemda so akaona hata akifanya hivyo huna pa kwenda.

Yaan hapo unaenda kutafuta kisu kikali zaod yake, unakitafutana. Halafu unahakikisha anajua ili jeuri yake iishe.
Kweli ni upopoma uliotukuka, mi alikuwa ananiropokea si kuna wanawake wengine huko kwani lazima mie kila siku, ikabidi nisimuangushe katika hilo nikajikamatia mama ya kando!
 
Kwa hiyo kauli mkuu mm siku hiyo hiyo ningemletea mwenzie. Inaonekana alikuwa anaringa sana kutokana unampemda so akaona hata akifanya hivyo huna pa kwenda.

Yaan hapo unaenda kutafuta kisu kikali zaod yake, unakitafutana. Halafu unahakikisha anajua ili jeuri yake iishe.
Ha ha ha ha yani hatari sana, maana alikuwa anaabudu kazi kuliko maisha mengine nikaona sio kesi!
 
Ninavyojua kucheat kuna sababu mbili? Ya kwanza ni wahusika kukosa wanachokitaka kwenye mahusiano au ndoa, cha pili ni tamaa( tabia chafu).
Nature inaplay wapi?
Unakosea saana unapoiita hiyo tabia tamaa. Sio tamaa mkuu. Ni asili tuu
 
Ndio maana kama hiyo kitu iko kwenye damu unadhani nini kinafuata zaidi ya hongera rafiki?

Maana hata pole bado haisaidii ikiwa hamuoni kama si jambo zuri.
Basi acha nikubali hongera maana nawafaidi sana warembo na nafurahia hilo pia. [emoji23][emoji23]
 
If my wife does this to me i will start cheating no doubt, kuna mpenzi wangu alishawahi kunifanyia visa vya hivi nikatafuta new edition inayonipa huduma on Demand!
Sio siri mchepuko unanoga sana, laiti wake zetu wangejua kuwa kubana kwao mapaja ndio sababu ya Real G's wengi kucheat wangekuwa wanatupa K bila masharti asilimia za furaha kwenye ndoa zingekuwa nyingi mno licha ya makelele ila when it comes to sex wajitume haswa kutupa relaxation na kutusahaulisha kero zote ingekuwa raha sana!
Hawajui tuu, kuna kipindi wife alifululiza hadi michepuko nikawa naikwepa, saa ingine gemu ugenini mchana usiku home.
 
Kwa hiyo kauli mkuu mm siku hiyo hiyo ningemletea mwenzie. Inaonekana alikuwa anaringa sana kutokana unampemda so akaona hata akifanya hivyo huna pa kwenda.

Yaan hapo unaenda kutafuta kisu kikali zaod yake, unakitafutana. Halafu unahakikisha anajua ili jeuri yake iishe.
Huwezi kukurupuka; unajipa muda kwanza; unajipa na kumtafuta yule wa kukutuliza kiasi kwamba hujutii kuwa naye! Baada ya muda majibu utayapata! Hiyo ndo dawa!
 
Hawajui tuu, kuna kipindi wife alifululiza hadi michepuko nikawa naikwepa, saa ingine gemu ugenini mchana usiku home.
Wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe! wanaharibu uchumi wa familia
 
Men gotta be men,, the empire is becoming more stronger by conquering others states. Now you know.
 
Nope ni tamaa. Binafsi ujana wangu huu nimepitia vingi. Ikiwa na hiyo tabia ya kucheat. Ila niliweza kugundua ujinga huo nikaacha hiyo tabia sababu ni upotevu wa muda na rasilimali nilizokuwa nazo.

Hii kitu kama ingekuwa asili nisingeweza acha. Ila sababu ni kwa upande wako sawa.
Hatuwez kuwa sawa.. ila tabia inajengwa na mazoea, kidogo kidogo inakuwa tabia.. the inakuwa sugu
Unakosea saana unapoiita hiyo tabia tamaa. Sio tamaa mkuu. Ni asili tuu
 
Hata she watueleze ni kitu gani kinawafanya wacheat? Tatiizo likijulikana ni raisi kukufanyia kazi
 
Atakula hiyo kazi. Ndio maana kuna aina fulan ya wanawake wakipata kazi au mafanilio ndio utajua tabia yake halisi. Yaan ni waovu... viburi gafla vinaanza, ngoja akose kazi anakuwa mdogo kama piriton.

Ninammoja alipata kazi kiburi kikaanza, majib ya mkato, siku moja nikampigia sim akaniuliza ww nani..? Nikasema okay isiwe shida. Nikala binda.. mwezi mmoja baadae huyo hapo , i love you za kutosha.. sijui nimekumiss.. kumbe alifukuzwa kazi.. nikamwambia kafie mbali mbuzi wa kijan ww usie na shukrani [emoji23]
Ha ha ha ha yani hatari sana, maana alikuwa anaabudu kazi kuliko maisha mengine nikaona sio kesi!
 
Nope ni tamaa. Binafsi ujana wangu huu nimepitia vingi. Ikiwa na hiyo tabia ya kucheat. Ila niliweza kugundua ujinga huo nikaacha hiyo tabia sababu ni upotevu wa muda na rasilimali nilizokuwa nazo.

Hii kitu kama ingekuwa asili nisingeweza acha. Ila sababu ni kwa upande wako sawa.
Hatuwez kuwa sawa.. ila tabia inajengwa na mazoea, kidogo kidogo inakuwa tabia.. the inakuwa sugu
Uko sawa kabisa; tukijenga utaratibu wa kufanya mambo kwa sababu maalumu naamini tabia zetu zitabadilika na kuwa kwenye ustaarabu.
Ukicheat bila sababu ...huo ni upuuzi; lakini kucheat kwa kusababishiwa ... naona hakuna shida yoyote!
 
Back
Top Bottom