Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,417
- 8,047
Ndio ukweli huo[emoji23]Wachaaaaaa.
Ndio ukweli huo[emoji23]Wachaaaaaa.
NaaaaamIko kwenye damu, sina sababu
Human nature
Mi alianza kunipangia siku za mgegedo, eti weekend tu, afu ndoa haina hata miaka2 nikaita dem mmoja nlikuwa naye kabla sijamwoa akawa ananipa karibu kila siku,
Hongera tena!!
Mi nimejikuta niko hivyo kupenda kubadili miloHajar watu watataja tabia mia za kucheat. Lakin ukwel ni kuwa .. kuji kujiendekeza. Ni tabia ambayo mtu hujijengea kama vile.. udokozi..wizi na uwongo.
Nothing can stop necha
Kwanini mkuuSidhani.
Ndio maana kama hiyo kitu iko kwenye damu unadhani nini kinafuata zaidi ya hongera rafiki?Hongera tena!!
Na mie ndio najua hivyo Mkuu ni kujiendekeza sababu kikawaida sio kwamba hakuna wanaume wasio cheat wapo ila wao wanawezaje ikiwa ndio hiyo necha ina nafasi.Hajar watu watataja tabia mia za kucheat. Lakin ukwel ni kuwa .. kuji kujiendekeza. Ni tabia ambayo mtu hujijengea kama vile.. udokozi..wizi na uwongo.
Eeeeeeee. Haya bana Jirani.Nothing can stop necha
If my wife does this to me i will start cheating no doubt, kuna mpenzi wangu alishawahi kunifanyia visa vya hivi nikatafuta new edition inayonipa huduma on Demand!Mi alianza kunipangia siku za mgegedo, eti weekend tu, afu ndoa haina hata miaka2 nikaita dem mmoja nlikuwa naye kabla sijamwoa akawa ananipa karibu kila siku,
HaswaaIf my wife does this to me i will start cheating no doubt, kuna mpenzi wangu alishawahi kunifanyia visa vya hivi nikatafuta new edition inayonipa huduma on Demand!
Sio siri mchepuko unanoga sana, laiti wake zetu wangejua kuwa kubana kwao mapaja ndio sababu ya Real G's wengi kucheat wangekuwa wanatupa K bila masharti asilimia za furaha kwenye ndoa zingekuwa nyingi mno licha ya makelele ila when it comes to sex wajitume haswa kutupa relaxation na kutusahaulisha kero zote ingekuwa raha sana!
Mke kubana K kwa mumewe ni ujinga. Hata kama amechoka awe anasema kwa leo siwez na kuwe na sababu ya maana. Otherwise akianza kuweka masharti ajua anakaribisha maafa kwenye ndoa, na ni suala la muda tu mume atachepukaIf my wife does this to me i will start cheating no doubt, kuna mpenzi wangu alishawahi kunifanyia visa vya hivi nikatafuta new edition inayonipa huduma on Demand!
Sio siri mchepuko unanoga sana, laiti wake zetu wangejua kuwa kubana kwao mapaja ndio sababu ya Real G's wengi kucheat wangekuwa wanatupa K bila masharti asilimia za furaha kwenye ndoa zingekuwa nyingi mno licha ya makelele ila when it comes to sex wajitume haswa kutupa relaxation na kutusahaulisha kero zote ingekuwa raha sana!
Ninavyojua kucheat kuna sababu mbili? Ya kwanza ni wahusika kukosa wanachokitaka kwenye mahusiano au ndoa, cha pili ni tamaa( tabia chafu).Kwanini mkuu
Naanzaje kumcheat mtoto mwenye stara kama wewe aisee, huduma unatoa ipasavyo unaanza vipi kuchitiwa?Na mie ndio najua hivyo Mkuu ni kujiendekeza sababu kikawaida sio kwamba hakuna wanaume wasio cheat wapo ila wao wanawezaje ikiwa ndio hiyo necha ina nafasi.
Kweli ni upopoma uliotukuka, mi alikuwa ananiropokea si kuna wanawake wengine huko kwani lazima mie kila siku, ikabidi nisimuangushe katika hilo nikajikamatia mama ya kando!Mke kubana K kwa mumewe ni ujinga. Hata kama amechoka awe anasema kwa leo siwez na kuwe na sababu ya maana. Otherwise akianza kuweka masharti ajua anakaribisha maafa kwenye ndoa, na ni suala la muda tu mume atachepuka