kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,143
.Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu ku-cheat.
Binafsi sababu hii ndo ilinisababishia ... alikuwa kila muda ananiambia kauli hii hadi ikazoeleka na mwisho nikaifanyia kazi
"Kama unataka kuoa nambie nikutafutie au ukipata usikose kunijulisha"