Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?

asee uzi wa kitambo

ila story nzuri

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Utekaji uliongozwa na KAPTAIN KISODA...alijiita hivyo na walikuwa na MAEMBE...waliwatishia abiria....walisika wakisema....ASALAM ALIKHUM MABIBI NA MABWANA.....MIMI NI mnionae hapani KAPTAIN KISODA....kuanzia sasa hili JIDEGE LAELEKEA KARACHI....kama mwataka haya hamtaki haya...na hili nililolishika ni BOOMU hili msidhani EMBE....hao jamaa walikuwa wazanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulia wewee. Nyinyi ndio wakulaumiwa kwa maisha magumu tunayopitia nakuyapata Leo. Vijana wamiaka hiyo mlikuwa hovyo kabisa. Mngekuwa makini kama vijana wa miaka hiyo wa nchi zilizoendelea tusingekuwa tunaishi maisha ya ngeseki hata maji safi tu nq salama ni anasa. Vijana wazamani ni wakulaumiwa kabisa
Walau wapongeze walifanikiwa kulala na aliyekuzaa vinginevyo usingekuwepo kabisa. Ashakum.
 
Utekaji uliongozwa na KAPTAIN KISODA...alijiita hivyo na walikuwa na MAEMBE...waliwatishia abiria....walisika wakisema....ASALAM ALIKHUM MABIBI NA MABWANA.....MIMI NI mnionae hapani KAPTAIN KISODA....kuanzia sasa hili JIDEGE LAELEKEA KARACHI....kama mwataka haya hamtaki haya...na hili nililolishika ni BOOMU hili msidhani EMBE....hao jamaa walikuwa wazanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimecheka mbavu zinauma hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wasambaa waliteka ndege walijua london ni hapo Lushoto wwngine kama huyo mdogo wake Memba alikuwa mwanafunzi na nini kinaendelea hajui kaka yake alimuambia tu twende shika hii basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana eti maji safi na Salama hapa bongo ni anasa.

tulia wewee. Nyinyi ndio wakulaumiwa kwa maisha magumu tunayopitia nakuyapata Leo. Vijana wamiaka hiyo mlikuwa hovyo kabisa. Mngekuwa makini kama vijana wa miaka hiyo wa nchi zilizoendelea tusingekuwa tunaishi maisha ya ngeseki hata maji safi tu nq salama ni anasa. Vijana wazamani ni wakulaumiwa kabisa
tulia wewee. Nyinyi ndio wakulaumiwa kwa maisha magumu tunayopitia nakuyapata Leo. Vijana wamiaka hiyo mlikuwa hovyo kabisa. Mngekuwa makini kama vijana wa miaka hiyo wa nchi zilizoendelea tusingekuwa tunaishi maisha ya ngeseki hata maji safi tu nq salama ni anasa. Vijana wazamani ni wakulaumiwa kabisa
 
Ila ki ukweli vijana wa zamani nadhani walikua bora kuliko sie, ona hizo Kashi Kashi zao zilizaa matunda, miaka miwili baadae Nyerere akang'atuka madarakani. Kwa aina ya serekali ya wakati huo, vijana wa zamani ni majasiri kuliko leo. Mi nashangaa sana mtu akisema watanzania wa si wa zamani wa sasa tumeamka. Cha ajabu hata kudai katiba mpya hawawezi kazi kulialia tu. Yatupasa kuchukua hatua zaidi ya kongea ongea. Afu kuna mi watu wengine ukizungumzia kubadilisha katiba na kuiweka rasimu ya pili ya wariyoba, wana nga'aka, utadhan na wao waweza kuupata huo uraisi. Kimsingi wananchi tulipaswa kupaza sauti juu ya rasimu ya wariyoba, kozi ktk kipindi cha miaka mia ya uhai wako hapa duniani, ma raisi ni kumi tu, ebu jiangalie una maslahi gani na katiba kandamizi?
 
Miaka hiyo tulikuwa na boeing .Unajua Nyrere alisema mtu mpumbavu akiwa na almasi akaja mwerevu akamwambia hizo ulizo nazo ni fake chukua hizi mpumbavu anakubali anapewa fake zake orignal zinachukuliwa.
Sasa tulingia mkataba na Net Group Solution sisi tuna boeing wao hawana kitu. Wakashauri tuuze boeing zetu halafu tukodi za South Afrika tukakubali
Tulipo uza wao ndo walikuwa watawala wakapata pes wa zibadhilifu ndo ulikuwa ujanja wao. Hao ndo viongozi wetu walivyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom