Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?

Nonda10:44 26th October 2012
Turejee kwa wateka nyara wa ki -Tanzania mwaka 1982.
Yassin Membar(21),Mohammed Tahir(21),Abdallah Ali Abdallah(22),Mohammed Ally Abdallah(26) na kiongozi wao Musa Membar(26) waliteka ndege hiyo ya ATC kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, wakailazimisha kwenda London, Uingereza.
Lilikuwa jambo la tashtiti.Walikuwa na silaha mwanasesere.Walikuwa magaidi wanagenzi.
Usalama dhalili katika uwanja wa ndege wa Mwanza uliwawezesha kuingia ndegeni na midoli ya bastola na kuwatisha abiria,rubani na
 
Tumsubiri Mkuu Chakufia Nini Atatupa Mkanda Kamili........................Vuta Subira Mkuu Arushaone.

arushaone kamaliza kila kitu link yake ina infor zote.
wewe ulitaka elezea ile ya pili iliyotekwa toka zanzibar mwaka 1988.japo ilihusisha vijana wa kizenj na si walebanon
 
arushaone kamaliza kila kitu link yake ina infor zote.
wewe ulitaka elezea ile ya pili iliyotekwa toka zanzibar mwaka 1988.japo ilihusisha vijana wa kizenj na si walebanon

Ndiyo Umenipoteza Kabisaaaaaaaaaaaaaa! Nahisi Labda Siyo Akili Yako Bali Ni Usingizi Utakuwa Umekulevya. Anyway Usiku Mwema.
 
Ni Kweli Kabisa Na Ilikuwa Ni Ndege Ya Tanzania Ambayo Ilitekwa Na Watu Wa Lebanon Ambao Walitaka Kuiteka Ndege Na Kutokomea Nayo Huko Kwao Ila Kwa Bahati Nzuri Sana Marubani Wetu Wa Kitanzania Wakati Huo Wengi Walikuwa Wakitokea Jeshini Hivyo Kuna Rubani Mmoja Ambaye Wengi Mliopanda Ndege Za ATC ( Samahani Kwa Msiopanda Ndege ) Kipindi Cha Miaka Ya Nyuma Bila Shaka Mtamkumbuka Sana Huyu Rubani Mzee Wetu Captain Mapunda ( Ambaye Sifa Zake Kubwa Ni Mbili Moja Yeye Ndiye Huvunja Utaratibu Ule Wa Ndege Ikiwa Inaondoka Na Kutaka Kuruka Ni Lazima Ivute Kasi Kwanza Lakini Kwa Captain Mapunda Hicho Kitu Kwake Kilikuwa Ni Mwiko Ambapo Yeye Akishaondoka Tu Pale Alikuwa Hasubiri Na Badala Yake Akikata Kona Tu Anaiwasha Injini Ya Pili Na Kuondoka Zake Na Sifa Yake Kubwa Ya Pili Ni Kwamba Yeye Kila Uwanja Wa Ndege Anapotua Tu Basi Ni Lazima Kwanza Atashuka Na Kuwahi Kunywa Bia Huku Abiria Mnashuka Na Kupanda Na Akitoka Hapo Ni Mwendo Mdundo ) Captain Mapunda Wakati Huo Kwa Kushirikia Kabisa Na Majeshi Ya Ulinzi Na Usalama Aliweza Kufanya Mawasiliano Ya Siri Na Labda Tu Kwa Faida Yenu Ni Kwamba Pilots Wote Huwa Wana Lugha Yao Ya Siri Ambayo Huitumia Na Watu Wa Control Tower Wakati Wa Matatizo Kama Hayo Ya Kutekwa Angani Hivyo Alichokifanya Captain Mapunda Ni Kuwazuga Wale MAPOPOMA Wa Ki Lebanon Kwa Kuwa Anawapeleka Huko Watakako Wao Kumbe KIDUME Alikuwa Anawasiliana Kwa Siri Na Watu Wa Control Tower Ambapo Kulikuwa Kuna Mzee Mmoja Wa IDARANI ( TISS ) Ambaye Baadae Alikuja Kuwa Mkurugenzi Wao Wa UWT Kwa Mambo Ya Nje ( Jina Kapuni ) Ambaye Ndiyo Alikuwa Akifanya Mawasiliano Na Kumwongoza Captain Mapunda Huku Huyo Mzee Akifanya Mawasiliano Na Majeshi Yetu Ya Ulinzi Na Usalama Na Kumpa Taarifa Zote Rais Hayati Baba Wa Taifa Na Ndipo Captain Mapunda Alipotumia Akili Ya Kuzaliwa Na Ya Kiufundi Ambapo Aliwazungusha Hapa Hapa Dar Na Maeneo Ya Rufiji Ili Kumaliza Kabisa Mafuta Ya Ktk Injini Ili Atue Kwa Tumbo Ktk Nyasi Zile Za Uwanjani Bila Kutoa Matairi Kuepusha Ndege Kulipuka Ukizingatia Ilikuwa Na Abiria Wa Kitanzania Na Kumbukeni Kuwa Ilikuwa Ni Usiku. Hivyo Walifanikiwa Na Captain Mapunda Alipoona Tu Kuwa Kamaliza Mafuta Yote Ktk Matenki Akalishusha Dude ( Ndege ) Hivyo Hivyo Kwa Tumbo Na Iliposimama Tu Akaziambia Zile NJEMBA Kuwa Ametua Mara Moja Jijini Jeddah Ili Aweke Mafuta Na Wale MAPOPOMA ( Walebanon ) Wakawa Wanashangilia Kuwa Mission Accomplished Kumbe Huku Nje Askari Wetu Hodari Na Shupavu Wa JWTZ Walikuwa Wameshaizingira Ile Ndege Na Kilichotokea Tu Ni Kwamba Captain Mapunda Aliwapa Ishara Ndipo Mmoja Wa Wale Watekaji Akajipendekeza Kuja Nje Kuchungulia Ile Anatokeza Tu Na PUA Yake Akala Za Chembe Kadhaa Ndipo Wale Wenzake Nao Wakajifanya Kuwa Wanaweza Mchezo Na JWTZ Wakajibu Mashambulizi Ndipo Wawili Kati Yao Wakauliwa Na Wale Wenzao Kuomba PO Na Mchezo Ukaishia Hapo Na Baada Ya Siku Kadhaa Captain Mzee Mapunda Akazawadiwa Tuzo Na Kupewa Gari Aina Ya Benzi Na Rais. Na Hapa Ndiyo Nimefikia Mwisho Wa UTAMU Wa FILAMU Yetu Nzuri!
....hahahahahahaha...SI KWELI
 
Boeing 737 ya air Tanzania ilitekwa mwaka 1982 na vijana wanne, ilikuwa ni domestic lakini ilipelekwa Nairobi halafu ikaenda jeddah Saudi Arabia halafu Athens ndio ikaishia safari yake Stansted Airport uingereza. Kulikuwa na wasafiri 90 lakini bahati hakuna aliekufa.

Alieokoa jahazi alikuwa Oscar Kambona aliyekuwa waziri wa mambo ya nje, alienda UK na kuongea na watekaji ambao walikuwa ni watanzania,
 
Boeing 737 ya air Tanzania ilitekwa mwaka 1982 na vijana wanne, ilikuwa ni domestic lakini ilipelekwa Nairobi halafu ikaenda jeddah Saudi Arabia halafu Athens ndio ikaishia safari yake Stansted Airport uingereza. Kulikuwa na wasafiri 90 lakini bahati hakuna aliekufa.

Alieokoa jahazi alikuwa Oscar Kambona aliyekuwa waziri wa mambo ya nje, alienda UK na kuongea na watekaji ambao walikuwa ni watanzania,
SAHIHISHO: Mwaka 1982 Oscar Kambona alikuwa mkimbizi wa kisiasa nchini Uingereza. Alikimbia nchi 1967. Alihusika katika sakata la utekaji kwa sababu watekaji waliomba kuongea naye kama sharti la kuwaachia abiria waliokuwa wanawashikilia.
 
SAHIHISHO: Mwaka 1982 Oscar Kambona alikuwa mkimbizi wa kisiasa nchini Uingereza. Alikimbia nchi 1967. Alihusika katika sakata la utekaji kwa sababu watekaji waliomba kuongea naye kama sharti la kuwaachia abiria waliokuwa wanawashikilia.
Ni kweli walikuwa left-wing na Kambona alihusika lakini pia aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje ( kwa wasiomjua tu) Asante kwa usahihisho
 
Sisi bombardier Q400 imetekwa hata kabla ya kufika tz
Walipe madeni ya watu sikuhizi njia rahisi zaidi ya kuziteka! Kupitia mahakama ya kimataifa......then unakamata mali zetu nje ya nchi! Vita vya kiuchumi ametaka , kupigana
 
Vijana walikuwa na miaka 20 tuu miaka.hiyoooo

Sasa hivi vijana wa 20s wako kwenye play station

jf where we dare talk openly
tulia wewee. Nyinyi ndio wakulaumiwa kwa maisha magumu tunayopitia nakuyapata Leo. Vijana wamiaka hiyo mlikuwa hovyo kabisa. Mngekuwa makini kama vijana wa miaka hiyo wa nchi zilizoendelea tusingekuwa tunaishi maisha ya ngeseki hata maji safi tu nq salama ni anasa. Vijana wazamani ni wakulaumiwa kabisa
 
........Baadaye ilikuja kujulikana kuwa majina ya watekaji wale ni Musa Memba (25), Mohamed Ali Abdallah (26) na ndugu yake Abdallah Ali Abdallah (22), Mohamed Tahir Ahmed (21) na Yassin Memba (21). Kiongozi wao alikuwa Musa Memba............

Haya majina haya, mmmmmh ila coz ilikuwa serikali ya jembe basi waliipata fresh

Kwa hayo majina ingekua leo Hii, wangeitwa magaidi badala ya watekaji
 
Hi there!
Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago:

Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed

Published: February 27, 1982


Hijackers demanding the resignation of President Julius K. Nyerere of Tanzania seized a Tanzanian jetliner with more than 90 passengers aboard on a domestic flight Friday. They reportedly killed two hostages and forced the pilot to fly to Kenya and Saudi Arabia.

The Tanzanian Airlines Boeing 737 took off from Jidda early today after refueling and was reported heading for Rome. In Jidda, the hijackers said they were members of the Revolutionary Youth Movement of Tanzania and demanded President Nyerere's resignation, an airport spokesman said.

Foreign Minister Robert Ouko of Kenya said the hijackers had released three women and two children at the Nairobi airport. Mr. Ouko said the hijackers told him that they killed two of the people on the plane. The bodies were still aboard when the jetliner left Nairobi, Kenyan officials said.

It was not clear how many hijackers there were or what weapons they had.

Hijackers: (Leader) Mousa Memba died in 1992 while in jail in Dar es Salaam.

Yasim Memba (brother to Mousa): is a CCM stalwart, in Kawe, Dar es Salaam.
Na wewe unataka kuteka ndege ya ATCL?
 
Back
Top Bottom