IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,602
- 3,189
TAG wameingiliaje tena mkuuRIP Prof Kairuki. Asanteni kanisa la TAG
kwa hiyo ni sifa hujui ana watoto na wajukuuu ingekuwa wewe ungejisikiaje?Uongo gani bwana wewee huyo docta kazaa na marehemu mama yangu mdogo!!!!!
Nina picha zake kwa taarifa yako wakiwa wamepiga wote na mtoto juu. mi huwa siandiki uongo humu ndani muda huo sina
ukitaka ushahidi sema tukumwagie hapa
tunasubiri kwakoMbona una hasira ndugu yangu?????
Mi sio wa kuhangaika na huyo kairuki kiufupi huyo mimi nimeishi nae huku nikimuita ba mdogo ni mtu namfahamu nje ndani......
Mazuri yake tutasema na mabaya kama yalikuwepo yataongelewa tu.
kazi nzuri na matokeo mazurii mafitina yapo kila konaupo sahihi asilimia 100% isipokuwa tu kwa mbelwa kairuki yeye baba yake aifariki akiwa shule bado , mengine yte hapo juu upo sahihi unawajua vizuri, nilishafanya kazi kwao kuwachunguza miaka ya 2002 mpaka 2004 enzi wana tuhuma za kufilisi mifuko ya bima, yaani walikuwa wana over charge bima za afya na wagonjwa hewa wengi , lakini baadae ikagundulika walikuwa wanachafuliwa tu na ma dr wa muhimbili kwa sababu ya wivu
Aiseee hatariKwa zama hizo haikuwa rahisi
Mzee mchonga kwani alikuwa na ugonjwa upi hasa?Kabla ya ujio wa mbaazi, watu wenye mpunga walikuwa wakifanya hayo matibabu ya kutoa damu yenye shida (kansa, ngwengwe n.k) na kuweka nyingine...
Hata yule "mzee mchonga" alikuwa anafanya hivyo, safari ilipowadia Israel akamtwaa huko huko kwenye mimashine akiwa "Ukerewe"...
Huyu ndio aliniuma sana ile downfall yake Alikuwa ni gamechanger haswa kwenye Matibabu ya Moyo Tz mwanzoni mwa miaka ya 2000Ongeza pia Dr Ferdinand Masau daktari bingwa wa moyo,alifanyiwa finish akafilisiwa hatimaye akakata moto,very sad
So Mamaako mdogo alikuwa analiwa OperaMiN!? Na Pia alikuwa na kali# kubwa sana kama usemavyo Mambo ya Prof Dr!?Uongo gani bwana wewee huyo docta kazaa na marehemu mama yangu mdogo!!!!!
Nina picha zake kwa taarifa yako wakiwa wamepiga wote na mtoto juu. mi huwa siandiki uongo humu ndani muda huo sina
ukitaka ushahidi sema tukumwagie hapa
Hata sio sifa umenituhumu mimi ni muongo sasa nimekuonyesha upande ninao mjua.kwa hiyo ni sifa hujui ana watoto na wajukuuu ingekuwa wewe ungejisikiaje?
chochote alichokifanya na mzazi mwenzake yalikuwa ni makubaliano yao binafsi.So Mamaako mdogo alikuwa analiwa OperaMiN!? Na Pia alikuwa na kali# kubwa sana kama usemavyo Mambo ya Prof Dr!?
Karibu chukua kiti kaa subiri, unaweza kuanza kuandika historia yangu sasa au baada ya mimi kufatunasubiri kwako
Alishindwa kutoboa na u-Prof wake?Ngwengwe
Nimesali nae pale Msasani KKKT.....nikitoka hapo napitia maandazi road kunywa KIbuku.1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.
2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?
**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.
Pumzika kwa amani Profesa
Historia yako jf imejaa tele amna kuandikaKaribu chukua kiti kaa subiri, unaweza kuanza kuandika historia yangu sasa au baada ya mimi kufa
Si useme tu mgalatia mwenzetu upande wa pili waumie.Hakika ni kati ya Taasisi thabiti katika Utabibu na Mafunzo inayomilikiwa na familia (ngozj nyeusi) nchini
Ila Joshua _ OK unapendaga sana mada za ngwengwe na njugu (boosters).1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.
2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?
**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.
Pumzika kwa amani Profesa
Oa weweenilipata kumuona miaka ya 1997 mara kadhaa pale hospitalini, si tetesi , mzee alikuwa kaisha(isipokuwa kichwa)
miaka hiyo hakukuwa na njungu
Kwenye nyuzi za magonjwa makubwa hukosagi.