Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,024
Baada ya kusota miaka miwili bila kazi, mwaka huu mwezi wa pili nilikua napitia Pitia ajira kwenye app ya ajira leo.
Nikakutana na tangazo la ajira taasisi moja ya watu wa marekani nikatuma maombi kwa kufauta masharti waliyoweka mana walitaka utume CV grade uliyopata kidato cha nne na cha sita pamoja na GPA ya chuo.
Baada ya lisaa nikapigiwa simu kuniambia wamepokea maombi yangu tuwasiliane WhatsApp. Kwanza sikua excited mana nilihisi ni matapeli ila baada ya kuwasiliana vizuri ndio nikajua ni kazi kweli.
Asante Mungu niko hapa hadi leo.