Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 5,648
- 11,580
Seikali ya Mhe.Rais wetu Samia waliangalie hili Kwa kweli.Tanzania Bando la internet imekuwa kama Anasaπππilikua hivi.
π
1gb+dakika 100+100 sms=tsh 1,000/= 7days.
sasa ni π
mb 449+dakika 25+50 sms kwa tsh 1,000/=
nilikua nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000tsh= 10 gb,kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.
ila kwasasa 10,000tsh=5gb analalamika zinaisha haraka na azimtoshi analazimika kukatisha anachokisoma mtandaoni.
nini kilisababisha kupanda kwa vifurushi vya internet?.
vipi kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano auna mahusiano ya moja kwa moja ya kupanda au kushuka kwa vifurushi hasa internet?
Nape sialisema yupo humu ndani ngoja aje akujibu.ilikua hivi.
π
1gb+dakika 100+100 sms=tsh 1,000/= 7days.
sasa ni π
mb 449+dakika 25+50 sms kwa tsh 1,000/=
nilikua nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000tsh= 10 gb,kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.
ila kwasasa 10,000tsh=5gb analalamika zinaisha haraka na azimtoshi analazimika kukatisha anachokisoma mtandaoni.
nini kilisababisha kupanda kwa vifurushi vya internet?.
vipi kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano auna mahusiano ya moja kwa moja ya kupanda au kushuka kwa vifurushi hasa internet?
Dizain km Nape hili jambo lilishamshindaNape sialisema yupo humu ndani ngoja aje akujibu.
Akirii = AkiliSamia ana uwezo mdogo saana wa akirii
Samia ni Zaifu saana
Samia Samia akishirikiana na Nape na Mwigulu hao ndo wauaji.ilikua hivi.
π
1gb+dakika 100+100 sms=tsh 1,000/= 7days.
sasa ni π
mb 449+dakika 25+50 sms kwa tsh 1,000/=
nilikua nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000tsh= 10 gb,kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.
ila kwasasa 10,000tsh=5gb analalamika zinaisha haraka na azimtoshi analazimika kukatisha anachokisoma mtandaoni.
nini kilisababisha kupanda kwa vifurushi vya internet?.
vipi kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano auna mahusiano ya moja kwa moja ya kupanda au kushuka kwa vifurushi hasa internet?
Ameshindwa sana tu.Dizain km Nape hili jambo lilishamshinda
CC nape nauyeHalafu anakuja mtu from nowhere anatuambia Tanzania gharama za bundles ni rahisi sana ukilinganisha na nchi zingine
Tatizo wanasiasa wana maslah binafs na watoa hudumaAmeshindwa sana tu.
Ila TUNUNU TULIA ndo amezidi kuliko wadhaifu woteSamia ana uwezo mdogo saana wa akirii
Samia ni Zaifu saana
Nape NnauyeNape sialisema yupo humu ndani ngoja aje akujibu.