Nini kazi ya hivi vipipi?

Nini kazi ya hivi vipipi?

Weeee siri za kambi tafuta pisi yako ikupe package hiyo ukamwage ubongo huko
Mkuu naomba kujua contents ya hivi vipipi ni nini? Na kwann huwezi kuvikuta madukani vinauzwa?
 
Ukutane na mtu anataka tu kukuvuruga
Akunyweee chai ya tangawizi +vipipi
Au karafuuu alafu akatumie strepsils 😅😅😅


Kaka zangu mna safari ndefu sana
Mtaua watoto wa watu.
 
Back
Top Bottom