Mi mwenyewe najifunza uwanga... wakija tutawangiana (hahahaha natania)Usiwafukuze waache... Wanga hawawezi kamwe kusogea hapo
Mmh ndio mara ya kwanza kusikia kuwa inaleta misukosuko.... Hebu tumia kwa wiki nzima homa kali lazima ikuendeshe ukianza kutumia dawaSiku wakiingilia msafara wa KAKA YAKE MAMA, na kuanza kumng'ata Nitafurahi sana
Hii tiba ya chumvi ungeweka na madhara ya kutumia ingependeza zaidi
Maana mi naona nikitumia napata misuko suko flani hivi sa hivi nimeamua kuacha
Kweli tena mkuu,Mmh ndio mara ya kwanza kusikia kuwa inaleta misukosuko.... Hebu tumia kwa wiki nzima homa kali lazima ikuendeshe ukianza kutumia dawa
That is healing process... Baada ya hapo mambo yangetuliaKweli tena mkuu,
Yaani nikakumbwa na balaa la kuibiwa simu
Mara nizinguane na viongozi kazini
Mara nigombane na wife mtarajiwa
Yaani ni fujo mtindo mmoja, anyway kesho ntaanza tena
Dah! Kwa hiyo kesho nikianza na mvurugano utaanza upya......? Pia nitumie kwa muda gani?That is healing process... Baada ya hapo mambo yangetulia
DaadekiPiga nonstop siku 28