Mimi kidg karibu nifanane na wewe japo mimi story yangu ni kwenye majina. Nina majina kama matano hivi ambayo wanawake wote ninaotokea kudate nao lazima waangukie kwenye hayo majina, yani hayo majina huwa yananifuata tu. Kila nikidate na mrembo fulani unakuta jina lake lipo kwenye cyle ileile. Cjui kama wanaume wenzangu hii kitu imewakumba au ni mimi tu.