Nini husababisha hii kitu?

Hahahha yani hata panya akipita tu utasikia maagano😆
kuna UZI p-diddy aliletaga anasema kuna mipanya humo ndani kwake haifi anahisi ina maagano ya kishetani anataka kuikemea

km uamini tafuta ID ya p-diddy zama PROFIRE yake utakua huo UZI aliletaga
 
kuna UZI p-diddy aliletaga anasema kuna mipanya humo ndani kwake haifi anahisi ina maagano ya kishetani anataka kuikemea

km uamini tafuta ID ya p-diddy zama PROFIRE yake utakua huo UZI aliletaga
Pdidy huyu mnywa bia?
 
Hiyo ni bahati nasibu tu
 
Meku nipasishie mmoja niwowe
 
Naona roho ya ubishi ndani yako🤣
Nakumbuka nikiwa olevo mama mmoja mlokole alikuwa anauza duka hapo shuleni,

sasa nimeenda dukani kufata bidhaa hizi za shule

Akaanza ooh,, una tatizo inabidi nikusaidie,, mm nimetulia namcheki tuu,, itabidi jumapili uje kanisani nikukutanishe na mchungaji akuombee,,

Kwanza unasali wapi nikamwambia mm nasali RC,, haya ukitoka kanisani maake mnawahi uje tukuombee,,,

Sikufikisha mguu, sikutia mguu nikaona upuuzi mtupu,,

Uache kuombea mumeo uje uniambie una tatizo,,

Hata kama kweli Kuna namna ya kumwambia mtu,,

Sio naona una shida mimi bajaji kwamba tyr limepasuka au

Baadhi yao wana mambo ya hovyo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…