Nini husababisha hii kitu?

nishawahi kukataliwa kwakuwa MZARAMO
akaniambia mbna huoekani kama MZARAMO

nami nikamjibu mbona wewe GUU BIA tako la haja
Umeona wapi mchaga na TAKO

mtu akiletaga mambo ya UKABILA kwenye jambo lolote haswa mahusiano na kuanza kucompare na watu wa miaka ya 60 huko namuonaga masikini wa akili sana
sasa mtu amezariwa DAR amekulia DAR huko SINGIDA aliendaga mara moja tu likizo
unaanzaje kusema WARANGI wote malaya no uninga na upuuzi ukioa au ukiolewa na mtu wa hvyo jua hiyo NDOA itakuwa na malalamishi siku zote


Wachaga ndio wenye tabia za kuchagua makabiLa katika mahusiano
 
Mimi kidg karibu nifanane na wewe japo mimi story yangu ni kwenye majina. Nina majina kama matano hivi ambayo wanawake wote ninaotokea kudate nao lazima waangukie kwenye hayo majina, yani hayo majina huwa yananifuata tu. Kila nikidate na mrembo fulani unakuta jina lake lipo kwenye cyle ileile. Cjui kama wanaume wenzangu hii kitu imewakumba au ni mimi tu.
 
Kwel kbsa
 
Wakati niko kijana kila nikitongoza ni Mnyaturu, kila nikitongoza Mnyiramba! Singida nimewavulia kofia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…