Nini humfanya mwanaume kuwa mwanaume?

Nini humfanya mwanaume kuwa mwanaume?

Habari wanajukwaa. Samahani kidogo,

Nimekutana na changamoto moja kwenye mahusiano lakini nikaambiwa tatizo simfanyi mpenzi wangu kuwa MWANAUME.

Kiukweli sijaelewa ni kivipi naweza mfanya awe mwanaume.

Msaada wenu tafadhali ili nielewe vizuri hapa namna ya kumfanya awe mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu uchi umeshawahi kumpa?
 
Kaka yangu wanaume wa sasa hivi mafurushi cc Jael.
Mwanaume anataka mwanamke amuhakikishie kama akija kwako atalala, atakula bure mboga atachagua yeye (kama vile anatoa chapaa) atabadilisha Station, utamnnunulia na mb.
Yeye kazi yake kusokomeza jiboro.
Sio kweli amu [emoji23][emoji39]
Na usishangae mdada anaamka asubuhi kwenda kazini au kwa biashara zake bwana kabaki ndani kalala au kabet.
Wamebaki wanaume wa ovyo ovyo tu.

Haaaa, nilikuwa nataka niombe unijaribu uone kama kweli wote tuko hivyo lakini nikasahau wewe ni mdogo wangu..haha!!
 
Kuna mtu anasoma huu uzi kimya kimya anatamani akupasue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sigongi amu, nakuwa na mahusiano yenye afya tu. Najua baada ya hapo nitakula tamu nitakavyo. Sikuzingui hataaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajukwaa. Samahani kidogo,

Nimekutana na changamoto moja kwenye mahusiano lakini nikaambiwa tatizo simfanyi mpenzi wangu kuwa MWANAUME.

Kiukweli sijaelewa ni kivipi naweza mfanya awe mwanaume.

Msaada wenu tafadhali ili nielewe vizuri hapa namna ya kumfanya awe mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wee ni ke...unapambana bwanako awe mwanaume..

Choko ni choko tu...ndivo alivo
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom