- Thread starter
- #81
Hata akiongea vitu havieleweki Nikae kimya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha unapenda kumuongoza kwa kila kitu. Lazima umtoe kasoro. Mwache aongoze usionge wakati yeye anaongea.....mfano rais akiongea wote kimya.
Sio ujifanye wewe ndio kiongozi wa kila kitu...atakukimbia...
Maana matatizo ya wadada wa sasa wanataka wao ndo wawe wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app