Nini humfanya mwanaume kuwa mwanaume?

Nini humfanya mwanaume kuwa mwanaume?

hiyo title yako imenikumbusha comedian mmoja anaitwa borat , wakuu mkipata muda ingieni youtube mkamtazame mfurahi, aliwahi kusema “am here to find out what makes British men gentlemen” [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajukwaa. Samahani kidogo,

Nimekutana na changamoto moja kwenye mahusiano lakini nikaambiwa tatizo simfanyi mpenzi wangu kuwa MWANAUME.

Kiukweli sijaelewa ni kivipi naweza mfanya awe mwanaume.

Msaada wenu tafadhali ili nielewe vizuri hapa namna ya kumfanya awe mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeolewa nitakupa jibu, yaani nakusudia mume (Maana sisi wake zetu huwa wanatufanya tuwe wanaumea hasa) , ila kama ni mpenzi ile mnasogeza siku,acha niendelee kusoma maoni ya wadau.

Nipo ...
 
Habari wanajukwaa. Samahani kidogo,

Nimekutana na changamoto moja kwenye mahusiano lakini nikaambiwa tatizo simfanyi mpenzi wangu kuwa MWANAUME.

Kiukweli sijaelewa ni kivipi naweza mfanya awe mwanaume.

Msaada wenu tafadhali ili nielewe vizuri hapa namna ya kumfanya awe mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongezea tu ya kuwa hili unatakiwa ulijiue :
"Katika wanaume kuna wanaume"

Nipo ....
 
Back
Top Bottom