Nini humfanya mwanaume kuwa mwanaume?

Nini humfanya mwanaume kuwa mwanaume?

Ampe nini???? Shwaini pesa nitafute mimi nimpe mwanaume alipe bili????,.... Yaani nalipa kila kitu popote na nitamgombeza hata mbele za watu akitaka aanze kutafuta pesa abebe majukumu,.... Mwanaume aliumbwa kutafuta kwa jasho sio amekaa kaa tu kama mzigo wa mavi mie nitafute pesa, nibebe mimba, nizae kwa uchungu mkali, halafu eti nilidekezedekeze tuuuu kulipatia pesa lijione kidume kumbe marioooo.....

Asimpe pesa alipe bill wala nini, amwambie huyo mwanaume ajishughulishe, Heshima ya mwanaume ni kuwajibika kama nature inavyotaka, sio kulialia tu oooh hunipi nafasi kama mwanaume heeeeeeey shit

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Ni tatizo,
Na Hakuna mwanaume ataweza vumilia hayo unosema.

Vinginevyo na yeye keshakuchukulia wee ni DANGA.

Yuko kwako KUTIMIZA malengo yake flani flani ndani ya mdA flani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume kumuomba hela akumfanyi awe mwanaume ..ila njia pekee ya wwe kumfanya awe mwanaume wa kweli ni wwe kua 7bu ya maendeleo kwake ...wewe ndio uwe mtu wa kumshawishi na kumpa nguvu katika mipango yake ...kiufupi wwe ndio uwe mtu wa kwanza kwake...akitaka ushauri na mawazo ...jiongeze utaibiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako limejificha Sana. Yaani kwa mtu Kama Mimi ili nikujibu lazima nielewe unataka awe mwanaume katika nyanja gani ??
1 Kiuchumi
2 Kijamii
3 Kisiasa
4........
5.........

Acha uvivu andika kwa machanganuo ueleweke. Ukiandika kwa ufupi hivyo utajibiwa na wavivu wenzio.
 
Hili swali ni technical Question, ningekuwa namjua jamaa yako hata kwa muonekano ningeelewa zaidi, mfano Jamaa anapumuliwa (usinielewe vibaya) wewe hujui baadhi ya watu wanajua unadhani watatumia kauli zipi kukuambia? mfano jamaa naringa saana mtaani anu na vijitabia vya kike................inawezekana wewe upo smart saana yeye he look like mluga luga flani hivi.....Natamani unielewe elewe (sijui unanielewaaa)

kuna sababu nyingi saana maana pia inategemea ni watu gani wanakuambia hivyo je ni rafiki zako wakie au wakiume? Je ni marafiki zeke, wa kike au wa kiume??? i wish kama ningekuwa nakufahamu niongee na wewe na kukusaidia kukuelewesha na kumsaidia huyo jmaaa....................

but kama utahitaji any assistance njoo PM
 
Mmmh.. hapo mkuu itakua balaa,
Kama sitafaham maendeleo ya anachofanya sio sawa kabisa
Usiwe Muongeaji Sana mbele yake, msikilize zaidi

Usipende kujiamulia mambo, muombe awe kiongozi ktk kile ulichokiamua.

Usimjibu akikasirika, hata Kama anafoka

Usipende humhoji Sana, mambo yake ya fedha hata Kama mtaj umempa wewe.

Mengine ntaongezea baadae

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks
Hili swali ni technical Question, ningekuwa namjua jamaa yako hata kwa muonekano ningeelewa zaidi, mfano Jamaa anapumuliwa (usinielewe vibaya) wewe hujui baadhi ya watu wanajua unadhani watatumia kauli zipi kukuambia? mfano jamaa naringa saana mtaani anu na vijitabia vya kike................inawezekana wewe upo smart saana yeye he look like mluga luga flani hivi.....Natamani unielewe elewe (sijui unanielewaaa)

kuna sababu nyingi saana maana pia inategemea ni watu gani wanakuambia hivyo je ni rafiki zako wakie au wakiume? Je ni marafiki zeke, wa kike au wa kiume??? i wish kama ningekuwa nakufahamu niongee na wewe na kukusaidia kukuelewesha na kumsaidia huyo jmaaa....................

but kama utahitaji any assistance njoo PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfanye akuone wa kawaida kwake bila kujali ww ni nani muonyeshe nawew ni mnyenyekevu ukiongea nae ongea kwa upole, inaonekana unaonekana high class sn kwake, na madhara ya ilo jambo hata bedroom hawezi kuwa fit. Mfanye akuzoee af kuwa proud nae mbele za watu mwambie "all you see on me are yours baby" msifie anapofanya jambo zuri ata akifanya vibaya mwambie you gonna do better tommorow worry out. Mfanye awe mfalme, mfalme hutawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom