Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

TCU nikama madalali sio?
 
Wengine tulipakua fomu mtandaoni unajaza na kwenda kwa mwenyekiti wa kijiji anagonga muhuri unaenda posta biashara imeisha unasubiria magazeti watoe majina.

Sasa leo unakesha stationary masaa 15 mtandao unajinyonga mpaka lini?
 
Sio lazima useme, waweza kukaa kimya maana unaonekana hujui CAS ilivyokuwa inafanya kazi na faida zake!
Haina faida hata moja kwa wanafunzi. Labda % walizokuwa wanavuta kutoka st.......


FUTA BABA, NASEMA FUTAAAAAAAAAA
 
Na vip kuusu ambao wapo chini ya NACTE,maana naona nacte washatoa tangazo maombi kwa njia ya mtandao yanaanza 15/05/17.Au hili rungu ni kwa vyuo vikuu tu?
 
ww ndo hajui chochote kwan hii cas ilikuwa autonomous au, wapo watu waicontrol ambao ndo tcu,ww ilikuwa ukienda pale na hela mkononi watu faster wanakupa chuo, ww ndo hujui chochote bashite ww
Kaka achana nae huyu atakuwa mnufaika wa tcu sasa jamaa kaamua kuifuta, nasema ifutwe. Kama ana banda lake hajaezeka anasubiria mgao wa tcu umeota mbawa.

Futaaaaaaaaaaaaaa
 
Mwaka jana yupo mtoto wa kaka yangu, amefaulu vuzuri tu ila alikosa machaguo yote, at da end akaambiwa kachaguliwa mbeya na akatumiwa namba ya admission officer
 
teyali washafanya utekelezaji mkuu bravo ruksa direct chuoni... tena chuo unachohitaj kwani haiwezekani wew mtu upo mwanza na uletwe mtwara edu wakat huohuo st agust ipo karibu na nyumbani...
Unatambaa hata kwa makalio umefika.
 
nashangaa sana kuna watu bado hawana imani na michango ya humu ndani ... elimu yetu ni ukombozi kwetu bla blah ndo mavyet feki 15,000+
 
Siku zote TCU haifanyi kaz ya kumchagulia mwanafunzi Chuo Bali inachokifanya ni kumpa mwanafunzi option ya kuchagua Chuo anachokitaka au kukipenda then yenyewe inakuja inam- direct huyo mwanafunzi katika moja ya Chuo kati ya vile avochagua kulingana na ufaulu wa mwanafunzi kama utakuwa unaendana na vigezo vya Chuo husika. Kwan kila Chuo kina vigezo vyake hakiwezi kupokea wanafunzi ambao hawana vigezo, mfano chuo kama mhimbili akiwezi chukua mtu aliyepata daraja la tatu kusomea udaktari eti tu kwa sababu huyo MTU anataka au anapenda icho Chuo apo utalia utatoa machozi ila hutapata chance, kitu kingine ni carrying capacity ya chuo , mfano unaweza kuta Chuo kinahitaji wanafunzi 200 katka course fulani afu idadi ya walioomba n 450,, ivo chuo hakiwezi chukua wote hao hata km wote wanavigezo sawa, wanaobaki wanapelekw vyuo vingine ila sio nje na vyuo walivyovichagua sababu huwezi MTU mpeleka sehemu ambayo hapendi ndo mana wakaweka machaguo ya vyuo ambapo MTU anajaza vyuo km vitAno ivi anavyoona vinamfaa, ikiwa na maana kwamba huwezi kosa Chuo kati ya ivo vitano vingine ujaze Chuo kimoja tu ktk option zote ulizopewa, na mbaya zaidi umejaza Chuo kimoja tu afu ujaangalia entry requirements za Chuo husika na bado kuna competition mana wanaotaka icho Chuo ni wengi sio wewe pekee, ivo mm sijaona point ya maana kuhusu kuituhumu TCU kuwa inamchagulia mwanafunz chuo
 
nani anai control hii CAS .. ni jibu kwanza ndo ulete habari zaidi
 
Bado NACTE/TCU ni regulatory bodies kwa kushirikiana na serikali/wadau wanaweza kurekebisha ikibidi.
we ulifiri ndalichako alikuwa sahihi kupandisha grades bila mahojiano yoyote ni zaidi ya genocide yanii yule mama wamchunguze lengo lake lilikuwa nini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…