Nini hatma ya ndoa hii? Naombeni ushauri urgent

Nini hatma ya ndoa hii? Naombeni ushauri urgent

Kumbe NDOA NDIVYO ILIVYO...
Poleni WANANDOA.

#YNWA
Hii taasisi ya ndoa iache tu ... Utakuta mwanasikolojia anatafuta mwanasaikolojia amsaikolojie ndoa yake.. Haina formula Kama mwendo wa KAA mara kulia mara kushoto mara nyuma mara mbele ... Lakini siku zote ukiona ndoa inalegalega mume ndio wakuangaliwa kabla ya mke... Mke hata awe na kipato gani mume atamuongoza tu ... Kama hana misimamo thabiti ataletewa mpaka mchepuko ndani
 
Hiyo nyumba ina ukubwa gani tukianzia hapo..... Inakuwa kubwa hadi usijue nani yupo wapi?!

Kabla ya hizo kash kash, mwanamke wako mlikuwa mkiwasilianaje?!

Je, kwenye masuala ya kipato, mwanamke ana mchango gani au wa asilimia ngapi?! Maana unaweza kuta mwanamke aidha anatoka familia ya kishua wanao mpa vihela na kumuongezea jeuri katika ndoa hadi anawazia kuwa hauwezi mwambia lolote pale mkipishana.
 
Nashukuru Ahmad!

Namshukuru Mungu nilifika salama safari yangu Jana usiku, sikuwasiliana naye siku nzima ya Jana wala sms sikuandika, ila usiku huu nimempigia simu kumjulia hali yeye na mtoto na wengine tunaoishi nao.

Ila sijaongelea chochote kuhusu ugomvi wetu!

Tukaagana usiku mwema! Kwishaa habari!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa mkuu. Ila inabid uwe mtata. Hujawah sikia mtu ameachwa na mkewe kwa sababu ya upole? Wanawake wanapenda mtu harsh ika isipitilize.

Mm mke wangu akizingua ananijua vema,
 
unaomba msamaha kwa mkeo? utakuwa wa Dar.
Tena hata hujui alipo🤔😡!?
Ndio u'gentlemen'!?
You can borrow a leaf here👇

I'm Not a Gentleman​

Geto Boys




Ladies first, who the fu_ck made up that shit?
9 times outta 10 it was a bitch
I'm comin' at cha like this
Cause your pussy ain't no more important than my dick, miss
I'm not your motherfuckin' dog
You won't see me runnin' to ya at your every beck and call
Bitches act like they handicapped
Want me to open doors, pull out chairs and all that
I'm the motherfuckin' gangster of love
So how you gonna run me like I'm some kind of scrub
Think your pussy made of gold, well it's not
You couldn't get a dime for it at the pawn shop
I won't pack your bags out the store
Nor will I take you to a play or a musical, whore
And break my neck to be extra polite
I'll take your motherfuckin' ass to a chicken fight
And if you get cold, you gonna sneeze
Cause I ain't givin' you my coat, so I can freeze
People say my manners are minimum
I'm from the ghetto, ho
I'm not a motherfu_ckin' gentleman

I'm not a gentleman

I'm not a motherfu_ckin' gentleman
I told you that in the first rap
Hell no I won't remove my cap
When I go to ya moms crib it's on my grill
T-shirt, sneakers and jeans is how I feel
Your mom grit her dentures
Cause I'll be eatin' with my hands not the proper utensils
I say yeah, naw, not ma'am
I was raised like that, so that's the way that I am
I don't give a damn if you ain't got a seat
My feet hurt too, you ain't no better than me
Stand your ass up, wait your fucking time
I don't give a if you're 9 or 99
Drop something if you want to freak
And I won't leap to pick it up like a geek
In a dash or flash, goddamn, I'll pass
I'mma let you bend over so I can see dat ass
I might laugh, giggle, or grin
You could say Willie D is out to win
People say my manners are minimum
I'm from the ghetto, ho
I'm not a motherfuckin' gentleman
 
Hata kama kosa ni lake ila sasa wewe ndo mwenye makosa. Hupaswi kumpiga mtu ( mke). Tujifunze kucontrol hasira na kupunguza mfumo dume. Ulivyoona hanyamazi na ukakereka ulipaswa kuondoka mpaka hali itulie. No justification kwenye kupiga, omba msamaha yaishe.
Na nyie saa nyingine huwa mnakera sana! Mkizibwa cha mdomo muwe vibogoyo sijui mtamlaumu nani? Eti uondoke, ebo😡!
 
Wivu tu unamsumbua utaahirisha safari mpaka lini wanawake huwa wanatengeneza image zao kichwani alafuu kukaa na mashemeji zako wa kiume nyumbani kwako huwa kunamfanya mwanamke ajiamuni na kutokuwa na utulivu kwa kuona ana wa kumtetea bora wa kike sbb unaweza kumdanganya akakupa umbea si unajua wanawake
 
Pole sana, solution ni moja tu mkazee haswa...

Natumae ulipata muongozo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom