Nini hatma ya ndoa hii? Naombeni ushauri urgent

Nimepokea mkuu!! Mwanamke akiwa na hasira maamuzi yoyote ni sawa kwake!! Maana hata sasa hajaingia chumbani, na simu kazima tangu hiyo asubuhi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumpiga mwanamke siyo sawa.

Ila anachokifanya yeye ni siyo sawa zaidi. Kwa makusudi ameamua kua unavailable. Naassume bado ana umri mdogo.

Wanaume wote tunakerwa na kelele zisizoisha so napata picha ulivyokereka. Mdau mmoja hapo juu anasema umchunguze binti ujue nini kinampa kiburi mi nasema hauna haja, aliyokujibu mkeo ndiyo na wengine tunajibiwa hivyo hivyo.

Muite muongee kilichotokea. Ni vyema zaidi ukatanguliza maneno kama 'Nataka tufikie suluhu kwa Kilichotokea asubuhi, unahisi ni sahihi?' hii ni ili hata kama anataka kuanzisha mada nyingine isiyohusiana umuonyeshe mpaka wa mada yenu.

So haitakua kuomba msamaha itakua ni kuzungumza na kufikia muafaka. Muite fasta pia ukichelewa na mawazo mengine maovu yataanza kukujaa.
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri mkuu! Kibaya nauliza hapa naambiwa ndani hayupo na simu zote hazipatikani!
 
Mapenzi ni mtego tumewekewa Nina masahibu pia mazito nashindwa hata ni jinsi gani niombe ushauri humu , but kwa swala lako kaa naye myamalize kwanza ndyo usafir Ila ukiona mwanamke anaanza kkujibu anavyojisikia anza kumfatilia % kubwa n ishara ya kuwa n m2 pembeni .
Mm yamenikuta
 
Inaweza kua ndyo sababu mkuu Ila ke wa ajabu saana unatumia hadi vumbi lakini anachepuka na anamgusa dak 2 na anavunja na ndoa
Mkuu ,,pole sana,,ila ndoa inamambo mengi,,navyohisi hicho kibul na dharau za Mke wako yu mkini humlidhishi kitandani ndio maana anakuletea madharau,,,,hakika kama unamshindilia vizur kunako hadi unamkojoza vizur asingeweza kuleta kibul cha kiwango hicho ,,cha msingi kaa chini ,fikilia ujue wapi ubapokosea pia muite kiungwana jishushe na umpe maneno mazur ya kumsifia na kumtaka yaishe.
 
Mkuu upo sahihi kwa upande wako,,,ila kumbuka huyu jamaa anasafir kesho,,navyohis huyu ke atakuwa ana MTU mwingine anayemkaza vizur nje sababu huyu jamaa yupo masomon pia Kama yupo masomon Si chini ya miez minne yupo nae Mbali hivo kutakuwa na MTU anayemliwaza pindi huyu ndugu yetu awapombali,,pia inawezekana huyu Mkuu amkuni vizur ndio maana huyu mwanamke hampi heshima,,au yu mkini anamkuna vizur sana ila Huyu shemej yetu aliolewa nae bas tuu sababu umri ulikuwa unaenda pia hakuwa na namna nyingine ila kiufupi inaonekana huyu shemej hana upendo wa dhat na huyu ndugu yetu au kama anaupendo wa dhat bas hakazwi vyema ndio chanzo cha kibur.
Ni kweli mkuu, nimejarb kufuta ushauri wangu baada ya kuona kumbe jamaa anaenda kusoma kabsa..... nlidhani ni safar ya siku mbili ama tatu ndo maana nikamshauri hvo...........alaf mbona sababu ya ugomvi iko waz kabsa.......huyo mwanamke tena anampenda sana jamaa, na anahtaj uwepo wake muda wote, ayamalze kabla ya kuondoka,tena ahakikishe usiku huu anamfurahsha mke wake vilivyo.... mpaka lisemister lije kukata sio leo kurud hme.
 
Mke ana wivu jamaa anaenda kufaidi vitu namba D chuo ha ha ha ha ha wahi chuo mkuu test zinaanza ndani ya mwezi huu wa sita itakula kwako
 
Mkuu upo sahihi kwa upande wako,,,ila kumbuka huyu jamaa anasafir kesho,,navyohis huyu ke atakuwa ana MTU mwingine anayemkaza vizur nje sababu huyu jamaa yupo masomon pia Kama yupo masomon Si chini ya miez minne yupo nae Mbali hivo kutakuwa na MTU anayemliwaza pindi huyu ndugu yetu awapombali,,pia inawezekana huyu Mkuu amkuni vizur ndio maana huyu mwanamke hampi heshima,,au yu mkini anamkuna vizur sana ila Huyu shemej yetu aliolewa nae bas tuu sababu umri ulikuwa unaenda pia hakuwa na namna nyingine ila kiufupi inaonekana huyu shemej hana upendo wa dhat na huyu ndugu yetu au kama anaupendo wa dhat bas hakazwi vyema ndio chanzo cha kibur.
Umri wa kawaida tu!! Hata sio swala la kitandani hata kidogo!! Ni kiburi flani tu si unaelewa wanaweke wenye vipato nyodo nyodoo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo chakufanya ni hivi... Mwambie huyo shem akamwambie dada yake kuwa baba mwenye nyumba amesema unataka kuongea na wewe.... Tena sisitiza kuwa hilo sio ombi ni order.

Akikaidi hiyo order basi wee nenda safari ukirudi hita kikao cha familia wazee waje uwaelwze upuuzi wa mke wako na wamkanye.... Mume hanuniwi ata siku moja. Asilete kwenye ndoa mapenzi ya ki teenager.

Alafu jamani haya mambo ya ndalama na mali ndio vyanzo vya migogoro kwenye ndoa.
 
Binafsi Am the clingy type.

Zamani nilikuwa nalia kabisa mume akisafiri. Na samtaim nikishindwa kabisa namfata huko huko😂😂😂😂

So I think anashindwa tu kusema. Ila ndo chanzo. Hata asipokuwazia michepuko Ni kwamba she will miss you.
 
Binafsi Am the clingy type.

Zamani nilikuwa nalia kabisa mume akisafiri. Na samtaim nikishindwa kabisa namfata huko huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

So I think anashindwa tu kusema. Ila ndo chanzo. Hata asipokuwazia michepuko Ni kwamba she will miss you.
Ha ha ha mkuu nyie wamama mna mambo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Mkuu ,,pole sana,,ila ndoa inamambo mengi,,navyohisi hicho kibul na dharau za Mke wako yu mkini humlidhishi kitandani ndio maana anakuletea madharau,,,,hakika kama unamshindilia vizur kunako hadi unamkojoza vizur asingeweza kuleta kibul cha kiwango hicho ,,cha msingi kaa chini ,fikilia ujue wapi ubapokosea pia muite kiungwana jishushe na umpe maneno mazur ya kumsifia na kumtaka yaishe.
Huu Ni utumbo.

Hivi vivulana vinawazaga sex ndio solution ya kila kitu. As if mnayaweza Basi.

Ila umejitahidi kumalizia vizuri.
 
Back
Top Bottom