Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,869
Kwa kiburi nilichonacho hapo ningeondoka hata kabla ya siku na nisingemuuliza chochote. Mimi huwa "sijaribiwi" (Speaking from Chato)
Bado huu sio mrejosho tunaoutaka mkuu.Mkuu Kikoozi na great thinkers wote naomba kutoa mrejesho kidogo!!
Sijaonana naye tangu hiyo Jana wala simu hazipatikani ila nilitega sms naona zime deliver, inaonekana anazima simu nakuwasha. Nimeamua kusafiri tu maana sikuwa na maamuzi mengine sababu naona kibri anacho na hata nikiendelea kusubiri naona napoteza tu muda.
Nimeacha pesa za matumizi, nimeandika na note yenye maneno "I'm soory, nikaweka na mistari ya bibilia yenye maneno ya upatanishi, pia Jana nilinunua zawadi flani za kuombea msamaha kwa hiyo hivyo vitu pamoja na hela ha matumizi nimeweka sehemu kabatini, akifungua atakutana navyo!!
Nasubiri nione response yake nione!!
Nawashukuruni sana kwa ushauri wenu na mawazo yenu makubwa ya kujenga!!
Mremaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uboya... Unatakiwa uucgune afu akija unamrudisha alikokuwa. Anapima kina Cha maji. Akili ikimkaa sawa... Mtaftie show moja ya kibabe sanaWasalam wana Jamvi!
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya tukimalizia weekend yetu murua kabisa!!
Niweke mada mezani bila kupoteza muda!
Siku ya leo nimefanya kitendo ambacho sikuwahi kufikiria kukifanya katika maisha yangu. Tumepishana kauli na mke, sasa huwa nikiwa na hasira nina desturi ya kukaa kimya na kuondoka, na Mara zote huwa naepusha ugomvi kwa namna hiyo, ndugu zetu akina mama wamejaliwa kuongea sana tofauti na sisi wanaume, hasa mimi yaani sipendi kelele kabisa kama kuna issue tusemeshane taratibu tuongee tumalize sio kelele
Ilikuwa majira ya saa mbili na nusu asubuhi ya leo, wakati tumetoka tu kanisani ibada ya Alfajiri.
Issue ni ndogo sana, mimi naandaa nguo zangu kwa ajili ya safari yangu siku ya kesho, sasa kuna baadhi ya mashati yangu aliyatunzaga kabatini nikawa namwagiza anipatie, kidogo majibu yake hayakuwa mazuri ukizingatia ni mke wangu sio hawara, na mimi alivyonijibu ilikuwa kwa dharau flani au anamjibu mdogo wake au mtoto kiukweli sikupendezwa, nikamuuliza unamfanyia nani hayo? Ikaanza kelele wewe, nikamwambia sikuelewi !! Ahaa bhana niache huwezi kuchukuaa mwenyewe, nikawa mpole nikamwambia sipendi kelele inatosha, ikaanza mada nyingine ambayo haihusiani, kuhusu maswala ya fedha na aseti ikawa kelele zaidi nikamwambia haya nimekuelewa inatosha, ehee mwenzangu hanisikii wala haelewi, nikamwambia basi toka chumbani mimi sitaki sharii, ahaa sitokiii!! Kelele ikawa kubwa sana!! Nikashindwa kujizuia kiukweli nikampiga! Tangu hiyo asubuhi hatujasemeshana kabisa, wala kumwona sijamwona, maana nyumba ina vyumba vingi vingine siwezi ingiwa sababu ni vya wasaidizi wetu wa kike !! Ila naisikia sauti humu humu ndani!!
Baada ya hayo kutokea nikaenda kwenye mizunguko yangu nikarudi saa Tisa, aliyenitengea chakula ni shemj yangu yaani mdogo wake wa kiume ambaye pia tunaishi naye hapa!!
Jionii hii pia chakula nimekula na huyo shemj yangu yeye sijamwona!!
Sijui pia hali yake ikoje mpaka sasa!
Naombeni ushauri juu ya-:
1) Nimwombe msamaha kwa kitendo hicho?
2) Au nikae tu kimya ?
3) Kesho nisafiri kama nilivyopanga ?
4)Na ushauri mwingine wowote nipo tayari kuupokea!!
Nawasilisha karibuni kwa ushauri na michango mbalimbali!!
Swali likubwa afu lizuri.Una muda gani haujaingiliana na mkeo?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Nenda safari mkuu
Daah mkuuwewe choma moto nyumba nakuhakikishia lazima atoke uko alikojificha
We ni MTABE sana.....umeshauri vizuri. Tatizo ana safari..... Sio vizuri kuondoka bila maridhiano. ...pia wanandoa wakiishi mbali ni vizuri kuitafuta amani hata kwa garama kiasi.Achana na kupiga mwanamke kama ulikuwa na tabia za kukaa kimya ungeendelea tu. Maana kama ni kuchukua mashati ungeuliza yapo wapi ungechukua mwenyewe. Kwa mujibu wa Profesa Vulata ni kwamba mwanamke wako tayari kaonja nje na pia kuna vitu kagundua huko nje. Wanawake japo ni mama zetu wana vichaa sana. Kama unaweza mkalie kimya kbs ningekuwa mimi ndio kashanipoteza kitendo cha kuletewa chakula na dume mwenzio kaka wa mkeo ni dharau kubwa sana.MKALIE KIMYA KABISA. Usimtafute. Swali fikirishi ebu fafanua nyumba ina vyumba vingapi kiasi cha kutojua mke wako yupo chumba gani? Usiwe muungwana sana na mtu aliyeongea na koboko.
Hapa ndio umejiingiza shimoni mazima mazima.... Yaani ndio umepotea..... Yaani akujibu upotoro alafu we ndio uombe msamaha. Yaani akalale nje ya chumba chenu afu kirahisi unasemaam sorry...Mkuu Kikoozi na great thinkers wote naomba kutoa mrejesho kidogo!!
Sijaonana naye tangu hiyo Jana wala simu hazipatikani ila nilitega sms naona zime deliver, inaonekana anazima simu nakuwasha. Nimeamua kusafiri tu maana sikuwa na maamuzi mengine sababu naona kibri anacho na hata nikiendelea kusubiri naona napoteza tu muda.
Nimeacha pesa za matumizi, nimeandika na note yenye maneno "I'm soory, nikaweka na mistari ya bibilia yenye maneno ya upatanishi, pia Jana nilinunua zawadi flani za kuombea msamaha kwa hiyo hivyo vitu pamoja na hela ha matumizi nimeweka sehemu kabatini, akifungua atakutana navyo!!
Nasubiri nione response yake nione!!
Nawashukuruni sana kwa ushauri wenu na mawazo yenu makubwa ya kujenga!!
Mremaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha UONGO banaaMkuu kusema sorry haimanishi umeomba msamahaa
Ukoloni huu[emoji23][emoji23]Nenda safari mkuu
Kabisa mkuuNenda safari wala usimwombe msamaha mkiwa mbali kila mmoja atajitafakari na kugundua makosa yake si ajabu akagundua kosa lake na kuomba msamaha kuna wakati mwingine inabidi uwe na kiburi ili heshima iwepo
Nauliza tena umeona chasaka?Mkuu Kikoozi na great thinkers wote naomba kutoa mrejesho kidogo!!
Sijaonana naye tangu hiyo Jana wala simu hazipatikani ila nilitega sms naona zime deliver, inaonekana anazima simu nakuwasha. Nimeamua kusafiri tu maana sikuwa na maamuzi mengine sababu naona kibri anacho na hata nikiendelea kusubiri naona napoteza tu muda.
Nimeacha pesa za matumizi, nimeandika na note yenye maneno "I'm soory, nikaweka na mistari ya bibilia yenye maneno ya upatanishi, pia Jana nilinunua zawadi flani za kuombea msamaha kwa hiyo hivyo vitu pamoja na hela ha matumizi nimeweka sehemu kabatini, akifungua atakutana navyo!!
Nasubiri nione response yake nione!!
Nawashukuruni sana kwa ushauri wenu na mawazo yenu makubwa ya kujenga!!
Mremaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana hakuna mchaga anafurukuta kwenye katereroHapana wa Bukobaa
Mwanamke hakuna kumuomba msamaha maana utajuta maishani atakua anakukumbusha tu kwa makosa ya miaka iliyopita. Wewe endelea na safari zako. Tena BLOCK namba yakeMkuu jishushe mwite mkae muongee mpe sababu kwann ulimpga na uongee kwa lugha ya kiungwana myamalize inawezekana na yeye alikujibu alikua na stress zake .. Mazungumzo ni njia bora kuliko kuliana buyu mnakua kama watoto